Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Una watoto?samahani kwa swali hili.Nilikua kama wewe.Sasa baada ya kupata watoto naona nimeongea Hadi nachoka.Naweza weka kitu mahali baada ya muda mfupi Tu watoto wanahamisha.
😆😆😆sina watoto mkuu, ila nimekaa na watu wako rough sana hadi kichwa kilikuwa kinauma, naamini nikipata watoto nita adapt tuu kama wewe.
 
Udhaifu wangu ni kwenye kubembeleza, hii kitu siiwezi kabisa naona kama najipendekeza. Nikishafanya approach ya kwanza iyo ndio for once and for all, kwaiyo muhusika anikubalie au anikatalie hapo hapo, kama anahitaji muda wa kufikiria vizuri ombi langu basi akiamua kunikubalia yeye ndio anitafute kunipa taarifa lakini mimi siwezi kurudi tena.
wewe ajira hutapata😂
 
Mniombee tu, nina udhaifu mkubwa wa huruma, hata kwa watu nisiowajua. Nasaidia huu ni udhaifu wangu toka mdogo. Nikiona tu mtu ana uhitaji, pochi liko wapi. Na nisiposaidia nikiondoka nitasononeka usiku wote. Najiona nimefanya kosa kubwa sana. Sijui ni ugonjwa.
 
Sasa ukipita mitaa yenye ombaomba itakuwaje.
 
Wale wajanja wajanja sana, kuna mtu ukimuona tu unajua huyu anauhitaji. Kama leo nimerudi zangu toka dinner saa 4. Kwenye mataa mkaka wa kuuza Ice cream za Azam, bado kakomaa saa 4 naa usiku dah. Hapo labda hakuuza mchana sababu ya hali ya hewa. Naumia sijaweza msaidia, ila naamini Mungu atamfanyia njia tu.
 
inaonekana Mungu amekupa moyo wa kusaidia.

Kuna watu wanapambana, mpka hta kama ulikuwa huna mpango wa kununua kitu unaamua kumuungisha.
 
Kabisa kuna wakati, unanunua kitu tu hata kama hukihitaji, utampa anayehitaji na chenji unamuachia. Tusaidiane kwa kidogo hikohiko. Angalau mwingine afurahi na aone anathaminiwa.
 
Back
Top Bottom