Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Jikosoe udhaifu wako [Thread]

Mniombee tu, nina udhaifu mkubwa wa huruma, hata kwa watu nisiowajua. Nasaidia huu ni udhaifu wangu toka mdogo. Nikiona tu mtu ana uhitaji, pochi liko wapi. Na nisiposaidia nikiondoka nitasononeka usiku wote. Najiona nimefanya kosa kubwa sana. Sijui ni ugonjwa.
Sio ugonjwa, hiyo ni tabia au kitu ambacho watu wachache sana wanacho, kusaidia watu ni ishara ya roho nzuri yenye huruma.
 
Mniombee tu, nina udhaifu mkubwa wa huruma, hata kwa watu nisiowajua. Nasaidia huu ni udhaifu wangu toka mdogo. Nikiona tu mtu ana uhitaji, pochi liko wapi. Na nisiposaidia nikiondoka nitasononeka usiku wote. Najiona nimefanya kosa kubwa sana. Sijui ni ugonjwa.
Na Mimi nataka unitunuku hilo pochi manyoya Bantu Lady nijipoozee mara moja moja kwako sio vibaya au unasemaje?
 
Unawapiga chini kwa nia njema kabisa, hapo unajiepusha na matatizo mkuu
Sasa ndio udhaifu wangu huo yaan nisingekua na huo udhaifu ningeishia kuumia kijingajinga kwa nikigundua tu anapigo za ku-sell her body kwa price fulani yaan nipo tayari nikanunue tu huko Badoo kuliko kua na mtu mwenye pigo za kuuza anauzia wangapi
 
Mkuu kwani huko badoo ndyo wapi?
 
Back
Top Bottom