Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.

Mbona wote naona kama ni Penguin (Nguin)?????! Wa sayansi vipi?
 
Yaani mi nawakumbuka Dr Ndalichako, Prof Sam Wangwe. Prof Lipumba , Dr Ulomi , Dr Urassa , Prof Wambali , Prof Chachage , Dr Mvungi , dah wapo wengi sana ila nawaheshimu sana hawa wanazuoni. kuna wengne watata kama Dr Nyang'oro pale COET.
 
Kama ujui kitu bora unyamaze hivi Mathew Luhanga , Ndalichako and co nao wawe nguin you cant be serious dude.
Mbona wote naona kama ni Penguin (Nguin)?????! Wa sayansi vipi?
 
Prof. Mashalla, Pphysiology MUCHS, Prof. Lyamuya-Micro, Prof Matee, Prof. Mhalu, Prof. Ngassapa- Anatomy
 
EEEEEE Kwani vyuo vingine havina Maprofessa?
1Prof Nyamsogoro(nyamso)
2.Dr.Mujwahuzi njunwa R.I.P
3.Dr.Montaneus C.Milanzi
4.Dr.Tundui
5.Prof Kirway
6.

Hahaha Dr. Milanzi namkubali sana.
 
Mwenye data za Wa Sua wakuu aongeze
Prof Minja R.I.P
Prof Bangu
Prof msola
Prof Muze R.I.P
 
Back
Top Bottom