Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Hapa ni udsm alumni mkuu.anzisha thread ya sua.Mwenye data za Wa Sua wakuu aongeze
Prof Minja R.I.P
Prof Bangu
Prof msola
Prof Muze R.I.P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ni udsm alumni mkuu.anzisha thread ya sua.Mwenye data za Wa Sua wakuu aongeze
Prof Minja R.I.P
Prof Bangu
Prof msola
Prof Muze R.I.P
Dr Msindai RIP hukumkuta?Dr Kapilima RIP.Proph Mutakyahwa alikuwa safi sanaProf. Mutakyahwa RIP- Geology
The funniest Prof niliyewahi kukutana naye
Proph Nzari RIPProf mark mwandosa
Prof masuha RIP
prof Mwinyiuwa je,wapi Prof ChambegaProf Nyahumwa enzi akiwa Dr Engineers wengi hawatamsahau kwa jinsi alivyokuwa anawakamata kwenye Strength of Material ME 101
Duh, kama aliwahi kufundisha basi itakuwa miaka ya zamani sana ambapo wengi wetu tulikuwa hatujatia timu Ud, maana yule jamaa aliingia kwenye siasa zaidi ya miaka ishirini iliyopita, so sidhani kama wengi wetu walimkuta akiwa mkufunzi...
Wengi hapo walishakuwa maprof,,na wamestaafu .Dr.NN()Nalitorela ;Dr. Bisanda ;Dr Elias;Dr J Runyoro;Dr.Nyamwihura;Dr Mvungi;Dr Manyahi;Dr Mshoro;Dr Kyaruzi;Dr Nzali;Dr John;Dr Kahambwa;Prof Mshana;Dr Mhilu;Dr Nyahumwa nk hiyo ni FoE 1994
Kwani SUA siyo Chuo? Acha ubaguzi wewe ngedereHapa ni udsm alumni mkuu.anzisha thread ya sua.
Sijasema kwa nia mbaya boss.huu uzi utachangiwa na wengi waliopita udsm so nikaona hutopata unachokitaka mkuu.sina ubaguzi btw am sorry kama umechukia.Kwani SUA siyo Chuo? Acha ubaguzi wewe ngedere
Basi nisamehe mkuu na mimi nimeghafilika .nafuta Kauli yanguSijasema kwa nia mbaya boss.huu uzi utachangiwa na wengi waliopita udsm so nikaona hutopata unachokitaka mkuu.sina ubaguzi btw am sorry kama umechukia.
Mbona wote naona kama ni Penguin (Nguin)?????! Wa sayansi vipi?
Kumbe wengi hapa ni wajuzi tu. Mbona sijamuona mtu anamtaja Prof. Mmari aliyekuwa vice Chancelor kabla ya Prof. Matthew Luhanga. Zaidi namkumbuka Dr. Ngware wakati huo akitukandia kwamba tumejifunzia kula mayai chuo kikuu badala ya kula utotoni ili kufanya akili zetu ziwe sharp. Pia wale Idara ya Biashara alikuwepo Prof. Okosso-Amaa, Dr. Mushi, Dr. Mboya,
Tiba