Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

Jikumbushe Madokta na Maprofesa hawa

EEEEEE Kwani vyuo vingine havina Maprofessa?
1Prof Nyamsogoro(nyamso)
2.Dr.Mujwahuzi njunwa R.I.P
3.Dr.Montaneus C.Milanzi
4.Dr.Tundui
5.Prof Kirway
6.

Samahani tundui profesa
 
Hahahahah, nakumbuka haya maneno alinambia mwaka 2004, alipokuja home, siku moja nikakutana nae fire anaelekea mjini, nikamuuliza umepita njia ipi, kanambia gari yake ilipaa kuanzia ubungo mpaka fire. Full vituko.

Ngware sasa ni Prof. pale IDS
anasema "i live where other people live" (mbezi beach

halafu anasema ukiona gari lake manzese piga simu polisi ujue limeibiwa.
halafu eti kitandani kwake zinalala degree 7 zake 4 na 3 za mkewe
 
List ya Maprofesa ni ndefu Faculty of Medicine: Prof. James Shaba Prof. Lema R. Dr. Mutoka{Pathology} Prof. J. T. Karashani RIP Prof. A.J.Kaduri RIP Prof. C.C. Magori, Prof. E P. Mtui, Prof. Ainory Gesase {Anatomy} Prof. D.D Ngassapa Prof.F Uiso {Dental Anatomy} Prof. Makene RIP Prof.Massawe, Prof. Mwakyusa, Prof. Matuja, Prof. A.M. Nhonoli RIP Prof. Pallangyo{Internal Medicine} Prof Kilama, Prof. Kihamia Prof. Zul Premji { Parasitology} Prof. Mtabaji, Prof. Masesa RIP {Physiology} Prof. P. Hizza, Prof. Phillips {Surgery} bado kuna wa community medicine na idara nyingine.
 
Ngware kwa majigambo alikuwa ni mwisho wa maneno, sijui katika mlolongo wa walimu walionifundisha kama kuna mmojawapo anafikia 50% ya majigambo ya Ngware.

Tiba
 
Kuna vichwa vya UDBS vimesahaulika Dr.Daudi Lwiza waliosoma MBA mnmjua na FN 602
Dr.Baisi,Prof.Chijoriga.Prof Rutashobya Prof Kaijage
 
Wengine ni:

Prof Samuel Wangwe

Prof Baregu

Prof Mwakyusa (RIP)

Prof Gidamis (yuko Nairobi sasa)

Prof Wamba Dia Wamba (alikuwa warlord huko DRC. Kwa sasa hasikiki...sijui kapotelea wapi)

Prof Penina Mlama

Prof Lihamba (yupo TUKI)

Prof Chris Peter Maina
Umekosea kusema Prof Lihamba (yupo TUKI). Hajawahi kuwa TUKI bali yupi Idara ya Sanaa na Sanaa za Maonesho (Fine and Performing Arts)

Wengine waliotangulia mbele ya haki ni:
1. Dr. Alphonce Ndibalema
2. Dr. Belle Masele

Wengine ninaowakumbuka ni:
1. Prof. Aldin Mutembei
2. Prof. Kulikoyela K. Kahigi ( kwa sasa mhe. Mbunge wa Ushirombo)
3. Prof. Kalafunja Osaki ( sasa yuko UDOM)
4. Prof. William Anangise ( zamani alikuwa anaitwa Mr. Sambo)
5. Prof. Josephat Kanywanyi ( alikuwa Ag. CACO 1999 tulipoingia 1st year)
6. Prof. Mayunga Nkunya (alikuwa Chief Academic Officer - CACO)
7. Prof. FEMK Senkoro
8. Prof. Herman Batibo
9. Prof. Fr. Daniel Mkude (alikuwa Chief Administrative Officer - CADO)
10. Prof.rof. Bernadetha Killian
11. Prof. Ruth Besha (R.I.P)
12. Prof. Zacharia Mochiwa (R.I.P)
13. Prof. Bruce Heiman
 
List ya Maprofesa ni ndefu Faculty of Medicine: Prof. James Shaba Prof. Lema R. Dr. Mutoka{Pathology} Prof. J. T. Karashani RIP Prof. A.J.Kaduri RIP Prof. C.C. Magori, Prof. E P. Mtui, Prof. Ainory Gesase {Anatomy} Prof. D.D Ngassapa Prof.F Uiso {Dental Anatomy} Prof. Makene RIP Prof.Massawe, Prof. Mwakyusa, Prof. Matuja, Prof. A.M. Nhonoli RIP Prof. Pallangyo{Internal Medicine} Prof Kilama, Prof. Kihamia Prof. Zul Premji { Parasitology} Prof. Mtabaji, Prof. Masesa RIP {Physiology} Prof. P. Hizza, Prof. Phillips {Surgery} bado kuna wa community medicine na idara nyingine.

Duh! Kati ya hawa ni kina nani walikuwa wanaitwa "The Sukuma Worriors"?
 
Ngware kwa majigambo alikuwa ni mwisho wa maneno, sijui katika mlolongo wa walimu walionifundisha kama kuna mmojawapo anafikia 50% ya majigambo ya Ngware.

Tiba

Yupo Prof. Mbonile wa Geography na wakati ule alikuwa Coordinator wa Demography Unit. Huyu alikuwa mwisho kwa majigambo na vichekesho. Hata Prof. Galabawa alikuwa na majigambo na kujisikia kama NSHOMILE
 
Include:
Dr. Emmanuel Okema RIP
Dr. Mishambi
Prof. Buluda Itandala
Prof. Ibrahim Musabaha
Prof. Livigha RIP
Prof. Msuya - Former Chief Academic Officer - RIP

Umenikumbusha my best teacher ever...Dr Buluda Itandala (RIP)

Mghosi
 
Prf.Rugemalila ......linguistic
Dr.coda...SOED
prf.Njabili...carriculum development

Kumbe we mtoto wa jana. Enzi zetu Njabili alokuwa Dr tu na baadae akaenda nje ( nafikiri Botswana au Zimbabwe), Koda alikuwa Assistant Lecturer katika Unit ya Education Media and Technology akisaifiana Technician aitwaye Janeth Jones ( kwa sasa Assistant Lecturer OUT) na Lugemalira alitufundisha Syntax na pia Historical Linguistics akiwa Dr na sio Prof. Kwa sasa nadikia kastaafu na kwenda kwenye shile yake, Kibangu English Medium primary school
 
Prof. John Mshana, ndiye yule aliyekuwa Deputy Vice Chancellor wa Prof.Luhanga

No please, Prof. Mshana hakuwa DVC kwa sababu cheo hicho hakikuwepo. Alikuwa ni Chief Administrative Officer - CADO. Wakati wa Luhanga kulikuwa na wasaidizi wawili, CADO ambaye alikuwa ni Prof. Mshana aliyemrithi Prf. Daniel Mkude na Chief Academic Officer - CACO ambaye alikuwa ni Prof. Mayunga Nkunya
 
Mwenye data za Wa Sua wakuu aongeze
Prof Minja R.I.P
Prof Bangu
Prof msola
Prof Muze R.I.P

Wengine ni:

Prof Gidamis
Prof Munyanziza
Prof Msanya
Prof Mlambiti
Prof Kimambo
Prof Aboud
Prof Jiwa (RIP)
Prof Lekule
Prof Kambarage
Prof Peter Msola
Prof Shem (Mtanzania-Mnyarwanda)
Prof Mtenga
Prof Laswai
Prof Ndemanisho
Prof Katule
Prof Wambura
Prof Muhikambele
Prof Urio

...na kadhalika.
 
List ya Maprofesa ni ndefu Faculty of Medicine: Prof. James Shaba Prof. Lema R. Dr. Mutoka{Pathology} Prof. J. T. Karashani RIP Prof. A.J.Kaduri RIP Prof. C.C. Magori, Prof. E P. Mtui, Prof. Ainory Gesase {Anatomy} Prof. D.D Ngassapa Prof.F Uiso {Dental Anatomy} Prof. Makene RIP Prof.Massawe, Prof. Mwakyusa, Prof. Matuja, Prof. A.M. Nhonoli RIP Prof. Pallangyo{Internal Medicine} Prof Kilama, Prof. Kihamia Prof. Zul Premji { Parasitology} Prof. Mtabaji, Prof. Masesa RIP {Physiology} Prof. P. Hizza, Prof. Phillips {Surgery} bado kuna wa community medicine na idara nyingine.

Mkuu Zul Premji ni Prof siku hizi?
 
Back
Top Bottom