tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Udsm mnaraha sana...wenzenu chuo kimejaa ma tutor et ndo wakuu wa department
mkuu chuo chenu cha UDOM bado kina safari ndefu sana kuelekea kwenye academic excellency. vumilia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udsm mnaraha sana...wenzenu chuo kimejaa ma tutor et ndo wakuu wa department
mimi nina wa admire ma Dr na Ma Prof tatizo nchi yetu haiwathamini kimapato ndio maana wengi wanaingia au wanakimbilia kwenye siasa.
So sad na wengine waliishia kufuga ngombe kujikimu kimaisha
Hapa ni udsm alumni mkuu.anzisha thread ya sua.
Dr Mkumbo
prof Masesa,Dr Ntogwisangu,prof Mtabaji,Prof Matuja,Prof Nhonoli,Prof Mashala,Prof MaselleDuh! Kati ya hawa ni kina nani walikuwa wanaitwa "The Sukuma Worriors"?
Ngware sasa ni Prof. pale IDS
anasema "i live where other people live" (mbezi beach
halafu anasema ukiona gari lake manzese piga simu polisi ujue limeibiwa.
halafu eti kitandani kwake zinalala degree 7 zake 4 na 3 za mkewe
Prof Masesa kafariki lini,si yupo Bugando anafundisha.List ya Maprofesa ni ndefu Faculty of Medicine: Prof. James Shaba Prof. Lema R. Dr. Mutoka{Pathology} Prof. J. T. Karashani RIP Prof. A.J.Kaduri RIP Prof. C.C. Magori, Prof. E P. Mtui, Prof. Ainory Gesase {Anatomy} Prof. D.D Ngassapa Prof.F Uiso {Dental Anatomy} Prof. Makene RIP Prof.Massawe, Prof. Mwakyusa, Prof. Matuja, Prof. A.M. Nhonoli RIP Prof. Pallangyo{Internal Medicine} Prof Kilama, Prof. Kihamia Prof. Zul Premji { Parasitology} Prof. Mtabaji, Prof. Masesa RIP {Physiology} Prof. P. Hizza, Prof. Phillips {Surgery} bado kuna wa community medicine na idara nyingine.
hivi ni kweli mmemsahau dk osoro kwa Sasa ni prof pia kuna MTU mmoja wa statistics huyu anaitwa ngowi ana mkwara lakini anahuruma sana
GAUTAMA,Dr.Montaneus C.Milanzi ni nomaaa kwa Human resource acha tuu,
Hii mada yako inatusaidia nn?kama mmewamiss mngeenda kuandaa anniversary nkurumah mkawaalika na kuwakumbuka waliotangulia.hzi ni story za kupiga vijiwen na masela wenzenu
EEEEEE Kwani vyuo vingine havina Maprofessa?
1Prof Nyamsogoro(nyamso)
2.Dr.Mujwahuzi njunwa R.I.P
3.Dr.Montaneus C.Milanzi
4.Dr.Tundui
5.Prof Kirway
6.
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
Umetisha kaka wewe ni Pure SUA productWengine ni:
Prof Gidamis
Prof Munyanziza
Prof Msanya
Prof Mlambiti
Prof Kimambo
Prof Aboud
Prof Jiwa (RIP)
Prof Lekule
Prof Kambarage
Prof Peter Msola
Prof Shem (Mtanzania-Mnyarwanda)
Prof Mtenga
Prof Laswai
Prof Ndemanisho
Prof Katule
Prof Wambura
Prof Muhikambele
Prof Urio
...na kadhalika.