Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka ya 90 hadi 2010 watakumbuka Cream ya Madaktari na Maprofesa wakali waliokuwapo pale. Sasa hivi wengine wametangulia mbele ya haki, wengine kustaafu na wengine kuacha kazi na kuingia katika siasa hasa ubunge. Leo nimewakumbuka nikawafananisha na timu ya Barcelona wakali hao. Huenda wengine wamefariki halafu sijui kama wajua saidia kuweka RIP na ongeza wengine unaowakumbuka. Sijui sasa hivi hali ikoje kwa upande wa ubora ukilinganisha na wakali hawa
1. Prof. Mathew Luhanga - Vice Chancelor
2. Prof. Mayunga Nkunya
3. Prof John Mshana
4. Prof. Mutabaji
5. Prof. Idris Kikula
6. Prof. Rwekaza Mukandala - Sasa ndiye Vice - Chancelor
7. Prof. Haroub Othmani -R.I.P.
8. Dr. Sengodo Mvungi - R.I.P
9. Prof. Issa Shivji
10. Prof. M. M. Mulokozi
11. Dr. Ndibalema
12. Dr. Hamza Njozi
13. Prof Josephati Maghway
14. Prof. Ishumi
15. Prof. Galabawa
16. Prof. Chachage - R.I.P
17. Dr. A Rwaitama
18. Prof. P. Mlama
19. Dr. Joyce Ndalichako
20. Prof. H. Mwansoko
21. Dr. Mreta
22. Dr. Kadeghe
23. Prof. Omary
24. Dr. B. Massele
Hawa ni baadhi tu ya wakali wa wakati huo baadhi yao bado wapo. Heshima zao sana.
Prof kingolingoli wa temeke nursing........ Dr mashaka fungameza wa data star........ .... Pro kwendo kwendo wa V.T.C kibaha............. Pro alhaj Muhammed wa University of Muslim morogoro........... Dr kitila mkumbo wa milembe Dodoma
1. Professor Peter Kopoka
2. Professor Baradyana
3. Dr Ami
4. Dr Urassa
5. Dr Tumsifu
6. Dr Ester Matiko
mkuu Tulimumu dr balla maselle yupi unamuongelea?? kama ni yule wa department ya masuala ya linguistic kwa sasa ni marehemu alifariki mwaka 2012 na kuzikwa pale makaburi ya sinza...sijui kama una taarifa hyo...unless kama unamzungumzia dr maselle mwingine....
Wewe ni wazi ulipita Political Science. Mbona umemsahau Dr Bruce a.k.a CNN?
prof. Samuel Mushi
DR. Mohamed Bakari
prof Amon Chaligha
prof. Max Mmuya
prof Mutahaba
DR Ng'wanza Kamata
DR sister Kante
prof Mohabe Nyirabu
DR Nassoro
Chuo gani hicho?
Ni huyo huyo mkuu. Mimi alinifundisha Literature. R.I.P Dr. Masselemkuu Tulimumu dr balla maselle yupi unamuongelea?? kama ni yule wa department ya masuala ya linguistic kwa sasa ni marehemu alifariki mwaka 2012 na kuzikwa pale makaburi ya sinza...sijui kama una taarifa hyo...unless kama unamzungumzia dr maselle mwingine....
Nimependa jinsi ulivyomjibu kiungwana sana tofauti na jinsi yeye alivyokujia. Hiyo ndiyo maana ya elimu. Ungemjibu kwa namna alivyokujia tungeshindwa kuwatofautishaSijasema kwa nia mbaya boss.huu uzi utachangiwa na wengi waliopita udsm so nikaona hutopata unachokitaka mkuu.sina ubaguzi btw am sorry kama umechukia.
yap, pia nimepitia kwenye mikono ya Sansa, Makulilo, Bashiru Ally, Audax Kweyamba, dr Rev Mogela, prof Munishi, Dr Benson Bana, Rwekaza Mukandala nk. unamkumbuka DR LYMO wa AS?
Umepitia CV zao vizuri?
Mabilionea hi I in kwanini wengi weapo Arusha?Sio koo zote wawe maprof,nyingine zimebarikiwa kutoa mabilionea
yap, pia nimepitia kwenye mikono ya Sansa, Makulilo, Bashiru Ally, Audax Kweyamba, dr Rev Mogela, prof Munishi, Dr Benson Bana, Rwekaza Mukandala nk. unamkumbuka DR LYMO wa AS?
teh teh mkuu umenikumbusha.huyu lymo ndio yule mchagga anayekuja kalewa anafundisha statistics.