10000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 822
- 747
1.Dr. William (dept of Geography)
2.Dr. Maganga
Dr. William a.k.a mzee wa kuwashika remote sensing mpaka wanafunzi wa education wakaondolewa hiyo course
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Dr. William (dept of Geography)
2.Dr. Maganga
Kumbe wengi hapa ni wajuzi tu. Mbona sijamuona mtu anamtaja Prof. Mmari aliyekuwa vice Chancelor kabla ya Prof. Matthew Luhanga. Zaidi namkumbuka Dr. Ngware wakati huo akitukandia kwamba tumejifunzia kula mayai chuo kikuu badala ya kula utotoni ili kufanya akili zetu ziwe sharp. Pia wale Idara ya Biashara alikuwepo Prof. Okosso-Amaa, Dr. Mushi, Dr. Mboya,
Tiba
Haa!
Basi kwangu hata wewe ni wa juzi tu.
Sijaona yeyote aliyemtaja Arnold Temu, Bonaventure Swai, Josephat Mbwiliza wala Isaria Kimambo.
Achilia mbali Vice Chancellor Nicholas Kuhanga.
Mkuu ulikuwa una mmanya Prof Japhet Nanyaro ambaye alikuwa Prof wa kwanza Mtanzania kwenye Dept. ya Geology?
Haa!
Basi kwangu hata wewe ni wa juzi tu.
Sijaona yeyote aliyemtaja Arnold Temu, Bonaventure Swai, Josephat Mbwiliza wala Isaria Kimambo.
Achilia mbali Vice Chancellor Nicholas Kuhanga.
Oh yeah...alikuwa jirani yangu huyo na wanawe Zawadia, Samuel, na Bernard ni marafiki zangu.
Prof Nyahumwa enzi akiwa Dr Engineers wengi hawatamsahau kwa jinsi alivyokuwa anawakamata kwenye Strength of Material ME 101
Kama ujui kitu bora unyamaze hivi Mathew Luhanga , Ndalichako and co nao wawe nguin you cant be serious dude.
Kuna yule mchagga anafundisha statistics first year anakujaga amelewa asubuhi simkumbuki jina.
Naona watu wamekuwa wakali kidogo, jamani nawakumbusha utani wa "Nguin" lakini all in all this list is overwhelmingly NguinTanzania wanapiga vita science mkuu!