Jilinde kwa kutumia Stun gun

Stun gun daa mkuu unanikumbusha mbali. Nimewahi kuimiliki hii kitu. Kuna mzee mmoja wa kisukuma aliniuzia kitambo..baadaye wajanja wakaniibia. Hii ya kwako highest output yake ni ngapi?
fresh, power output : 1000KV
 
Hizi vidude kwenye mwili kama wa Le Mutuz haziwez kufanya kazi
 
Hiyo cctv memory yake kiasi gani??
Namaanisha inaweza chukua matukio ya muda gani
 
hizo cctv ni brand gani na zipo ngapi na ni pixel ngapi full kit mean kebo zake dvr camera na vikolo kolo vinginevyo vile
iyo full kit ni bila hdd, ukiweka 500gb inachukua siku tatu, 1 tb inachukua wiki nzima
 
mkuu nilikua naomba pia picha ya hiyo sound bar na brand yake
 
Sasa hii shot ukimpiga nayo teja wa uchochoroni si anaweza akafa jumla?[emoji4] [emoji4] mana afya zao Mungu ndo anajua
 
SKM OFFERS

1. Alarm system - 300,000/=
2. CCTV camera 4 channel full kit - 350,000/=
3. Portable Vision Playing Station (PVP) - 60,000/=
4. TV box- 90,000/=
5. Soundbar - 90,000/=
6. Bose wireless speaker - 80,000/=
7. hard disk drive 160gb- 45,000/=
8. Stun gun / Teaser- 69,000/=

Mahali: Kijitonyama
Simu: 0656190449
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…