Simon Kaboja
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 165
- 117
- Thread starter
- #141
iyo pia ni teaser mkuuTASERS huuzi mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
iyo pia ni teaser mkuuTASERS huuzi mkuu?
Namaanisha TASER ile inayokua kama ni bastola hivi inayopiga shoti hata police wa US wanazitumia.iyo pia ni teaser mkuu
iyo sinaNamaanisha TASER ile inayokua kama ni bastola hivi inayopiga shoti hata police wa US wanazitumia.
Na Pepper spray unaweza kua nayo mkuu?
Sawa karibu
Kujaribu sio lazima umgusishe mtuInarubusiwa kujaribia kwa anayekuuzia kabla ya kununua ili kujua utendaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri ili uwe na uhakika na kifaa unachonunua inabd ukishakichagua na ukaelekezwa jjnsi ya kutumia muuzaji anatakiwa akujalibishie wewe ili uone nguvu yake ikojeInarubusiwa kujaribia kwa anayekuuzia kabla ya kununua ili kujua utendaji?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina iyo
Nitajuaje km ni original au jakie Chen?Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu