Jilinde kwa kutumia Stun gun

Jilinde kwa kutumia Stun gun

Teaser /Shocker
Jilinde na vitendo vya uhalifu
Power output 1000KV
Light lighting time long
Large capacity dc discharge
Defence effect is good
Bei: 75,000/=
Mahali: kijitonyama
Simu: 0656190449
#SKMOFFER
 

Attachments

  • skmquality-1555739817688.jpg
    skmquality-1555739817688.jpg
    19.5 KB · Views: 37
Kuna mdau kauliza kama Pepper spray ambayo ni spray ya pilipili tu inatakiwa uwe na kibali iweje hii ambayo inaweza kuleta madhara makubwa kama kifo ununue bila kuwa na kibali maana hata wahalifu si watamiliki na ndio itakua hatari zaidi?
Hebu litolee ufafanuzi hili.

Je wewe mamlaka zinatambua biashara yako? na kwamba mtu akitaka kununua kwako ni yeye na hela yake tu basi?
 
Unaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wako

Bongo nyoso. Kushindwa kumiliki vitu kama hivi legally ndo kunafanya wakabaji waue binti zetu wa chuo.
 
Teaser /Shocker
Jilinde na vitendo vya uhalifu
Power output 1000KV
Light lighting time long
Large capacity dc discharge
Defence effect is good
Bei: 75,000/=
Mahali: Makumbusho Bus Stand
Simu: 0656190449
#SKMOFFER
 
Stun gun ni kifaa chenye uwezo wa kupiga shoti pia kuna tochi, ni kidogo unaweza tembea nacho Kama tochi ya kawaida, rechargeable device, kitakusaidia kujilinda na uhalifu wowote au ulinzi kwa kumpiga shoti mlengwa wako, mfano mzuri zinatumikaga kuwatuliza waalifu kwa kuwapunguza nguvu
Hivi mkuu mfano mtu amekukaba ukampiga shoti si itakupitia mbaka wewe uliekabwa?
 
Amna jiamini tu mkuu, ni ngumu mtu ku spot una nini mkononi maana wengi hawajui kama ni kadogo mtu anaeza hizi una simu! Cha msingi ni kumsakamizia ila pia hamtakiwi kushikana maana nadhani wote itawachapa short
Hiii inamana mkuu kibaka aliekuvizia akakukaba huwezi kumpiga hii kitu kwa maana wote mntaangukia pua
 
Kuna stan gun zinauzwa pale Station kwenye duka la silaha la Tanganyika naona kama ni safe zaidi ya hii kwani zinapiga short umbali wa mita 3,sasa hii mpaka umguse adui si balaa hilo
Hizo ni nzuri, hazihitaji mlolongo wa vibali kuzinunua?
 
Dah hiyo kwa waharifu itawafaa
sana akikupiga shoti tu ukija kuamka hata boxer huna.
 
Unaichaji na inauwezo mkubwa wa kutunza charge pia ni rechargeable device, kisha utumiaji unaweza tembea nayo au utumie muda wa tukio, utawasha kisha unapress button alafu unamgusisha mhalifu wako
Mpaka umgusishe! Kama ana panga je?!
 
Back
Top Bottom