Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.

Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.

Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.

Kazi Iendelee!
 
Mmmh. We jamaa bana akili zako unazijuaga mwenyewe. Kwa hiyo Sasa si wangekuwa wanawapitisha tu ..... Kwa kuwa wao wakubwa wanatoka huko. Demokrasi bado hamjaweza kuiishi kabisa nyie watu
 
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.

Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.

Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.

Kazi Iendelee!
Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale milele
 
Chadema walimuunga mkono Samia kwa kutoshiriki uchaguzi ili kumkomoa marehemu na mataga
 
Na bado tunaimba maendeleo kwa akili hizo,Afrika sio bara tu la hizo Bali ndipo giza linapozaliwa.
 
Ndio yaleyale ya kurusha bomu mochwali na kujisifia mmeua.
Ccm acheni utabata fanyeni siasa za heshima.
 
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.

Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.

Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.

Kazi Iendelee!
Liliongozwa JIJI la Dsm na Meya wa kutoka Upinzani na Magufuli akiwa Rais
 
Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale milele
Kea tanzania kuwaza machafuko ni sawa na kinimacho.hicho kitu hakipo tunakiwaza ss humu jamii forum lkn hakuna mwananchi anayewaza upuuzi huo.wao wako busy na kilimo.wanachowaza ni maisha yao tu na si wanasiasa.
 
Kama ni hivyo kwann wanachezea hela zetu wanyonge na maigizo ya uchaguzi??
Hii nchi buana!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale milele
Mbona hamsemi kura ziliibiwa kama angekuwepo JPM?

Hakuna upinzani Tanzania ila vinyonga wanaofuatilia wadudu warukao kwenye majani ya miti kunasa kama kitoweo ili waishi.
 
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.

Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.

Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.

Kazi Iendelee!
Jimbo la analotoka makamu lipo Burundi, ni vile tu MaCCM akili zenu huwa mnazikana inapokuja madaraka na vyeo . Bure kabisa.
 
Mbona Karume alikuwa Mrundi mchanganyiko na Mnyasa lakini alikuwa ndio rais wa Zanzibar kutoka kuwa baharia
 
Back
Top Bottom