johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale mileleHilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.
Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.
Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.
Kazi Iendelee!
Liliongozwa JIJI la Dsm na Meya wa kutoka Upinzani na Magufuli akiwa RaisHilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.
Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.
Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.
Kazi Iendelee!
Cheki na Zitto Mkuu.Matokeo ya uchaguzi mhambwe na buhigwe wametokaje ??
CCM imeshinda kwa asilimia 90+Matokeo ya uchaguzi mhambwe na buhigwe wametokaje ??
Kea tanzania kuwaza machafuko ni sawa na kinimacho.hicho kitu hakipo tunakiwaza ss humu jamii forum lkn hakuna mwananchi anayewaza upuuzi huo.wao wako busy na kilimo.wanachowaza ni maisha yao tu na si wanasiasa.Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale milele
Mbona hamsemi kura ziliibiwa kama angekuwepo JPM?Katiba ya 1977 itakuja kuleta machafuko nchini, endeleeni kuikumbatia kwa bidii ili mtawale milele
Jimbo la analotoka makamu lipo Burundi, ni vile tu MaCCM akili zenu huwa mnazikana inapokuja madaraka na vyeo . Bure kabisa.Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.
Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema.
Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha.
Kazi Iendelee!
Mbona Karume alikuwa Mrundi mchanganyiko na Mnyasa lakini alikuwa ndio rais wa Zanzibar kutoka kuwa bahariaJimbo la analotoka makamu lipo Burundi, ni vile tu MaCCM akili zenu huwa mnazikana inapokuja madaraka na vyeo . Bure kabisa.