Pre GE2025 Jimbo la Arusha Mjini sasa limekuwa kama Pombe ya Ngomani, Unanunua Wapambe wakuombe Ugombee Ubunge halafu unawakubalia, Imeisha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Makonda anaweza kugombea popote nchini..na akakubalika..
Nenda Arusha...jiji la watu wenye 'njaa' ya pesa..( Usiniulize zinapatikanaje)..wasikilize wanasemaje kumuhusu Makonda...
Mbunifu mkubwa!
 
Dunia nzima inafahamu, inasemekana Tanzania ndio nchi iliyosababisha Nchi zingine za kiafrica zinyimwe misaada na Trump
Trump anachukulia siasa za vibaraka.....akina Zelensky na wenzake huku Afrika....

Trump anaweza kuipenda Tanzania kuliko Brussels aliowatenga kikao cha Saudia..... Brussels Ina VIBARAKA wengi katika hivi vyama visivyo na dola.....
 
Kivipi?

Ubunge ni wa watanzania wote, popote unapoona ni sawa wewe kugombea, unaweza gombea, as long as passport yako na nida yako zinasoma wewe ni mtamzania.

Gambo kazaliwa kariakoo, alikuja chuo Arusha, then akaja kama mkuu wa Mkoa, na leo ni Mbunge.
 
Ndio maana tunasema ni pombe ya ngomani, huyo Makonda kwanini asigombee kwao Kolomije
 
Zile mbwembwe Zote ilikuwa gia πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://x.com/TanzaniaDigest/status/1894733650840654253?t=jlbatsAYYMubIzI_UPHwfQ&s=19
 
Makonda hategemei kura halali, anategemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Mimi sijamsikia Makonda akitoa kauli yake kuwa atagombea jimbo la Arusha! Hofu ya nini? Kwani waArusha si wameona matendo ya mbunge wao wa sasa? Wakati ukifika wataamua wenyewe!!! Pia hakuna mwenye hatimiliki ya hilo jimbo, yeyote anaweza kugombea! Ni ushamba kufikiri ni lazima awe Gambo tu!
 
Hukuona diwani akimwaga chozi kumlilia mmasai mwenzie makonda agombee?
 
Kwani wananchi ndio wanaoamua na nani awe mbunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…