Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thuuuubuuuutuuu.....Lema ameshasema atagombea baada ya kuona Arusha haina Mgombea wa maana
Swali
Je, atamuweza Makonda? 😃
.....kuuzidi ule ukatili wa mwamba tuvushe ,wa SUMU HAIONJWI?!!!CCM ni chama cha kikatili sana!
...toba inahitajika....watubu haraka ...Wakenya wanajua kuhusu yale "magari"....Kumwita Lema Nabii ni kufuru isiyoelezeka.
Trump anachukulia siasa za vibaraka.....akina Zelensky na wenzake huku Afrika....Dunia nzima inafahamu, inasemekana Tanzania ndio nchi iliyosababisha Nchi zingine za kiafrica zinyimwe misaada na Trump
Tumwite nani??au unafikiri ni Lema wa ccm??Kumwita Lema Nabii ni kufuru isiyoelezeka.
Nani mamluki Kigamboni?Kwamba kigamboni nako hakuna watu hadi mtafute mamluki?
MakondaNani mamluki Kigamboni?
Au akutolee na wewe unabii?Kumwita Lema Nabii ni kufuru isiyoelezeka.
Kivipi?Makonda
Ndio maana tunasema ni pombe ya ngomani, huyo Makonda kwanini asigombee kwao KolomijeKivipi?
Ubunge ni wa watanzania wote, popote unapoona ni sawa wewe kugombea, unaweza gombea, as long as passport yako na nida yako zinasoma wewe ni mtamzania.
Gambo kazaliwa kariakoo, alikuja chuo Arusha, then akaja kama mkuu wa Mkoa, na leo ni Mbunge.
Zile mbwembwe Zote ilikuwa gia 😁😁👇👇Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari anacho cheo kingine ili agombee Ubunge!
Huu ni udhalilishaji wa Wana Arusha waliokipigania chama chao kwa miaka yote na kiukweli haukubaliki, Inakuwaje haya mambo mbona ni ya kipumbavu sana!
Mrisho Gambo alipata nafasi ya kugombea Ubunge baada ya ujinga kama huu huu, Sababu kuu iliyompa nafasi hiyo ni kumkomoa Godbless Lema kwa kushirikiana na Dikteta Magufuli!
Soma Pia: Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini
Hivi Wana Arusha mtakuwa Jamvi la Wageni hadi lini, hivi ni kweli kwamba hamna akili kabisa nyinyi wote?
Kuna Haja ya Nabii wa Mungu Godbless Lema kutafakari upya na kurejea kuwakomboa Wana Arusha waliogeuzwa mifugo na Viongozi wa Mkoa wao, lakini tu ikiwa kutakuwa na Reform, Mambo wanayofanyiwa Watu wa Arusha ni ya Aibu sana na hayakubaliki.
Mimi sijamsikia Makonda akitoa kauli yake kuwa atagombea jimbo la Arusha! Hofu ya nini? Kwani waArusha si wameona matendo ya mbunge wao wa sasa? Wakati ukifika wataamua wenyewe!!! Pia hakuna mwenye hatimiliki ya hilo jimbo, yeyote anaweza kugombea! Ni ushamba kufikiri ni lazima awe Gambo tu!Makonda hategemei kura halali, anategemea mbeleko ya vyombo vya dola.
Hukuona diwani akimwaga chozi kumlilia mmasai mwenzie makonda agombee?Mimi sijamsikia Makonda akitoa kauli yake kuwa atagombea jimbo la Arusha! Hofu ya nini? Kwani waArusha si wameona matendo ya mbunge wao wa sasa? Wakati ukifika wataamua wenyewe!!! Pia hakuna mwenye hatimiliki ya hilo jimbo, yeyote anaweza kugombea! Ni ushamba kufikiri ni lazima awe Gambo tu!
Kwa hiyo huyo diwani ndiye Makonda?Hukuona diwani akimwaga chozi kumlilia mmasai mwenzie makonda agombee?
Kwani wananchi ndio wanaoamua na nani awe mbunge?Mimi sijamsikia Makonda akitoa kauli yake kuwa atagombea jimbo la Arusha! Hofu ya nini? Kwani waArusha si wameona matendo ya mbunge wao wa sasa? Wakati ukifika wataamua wenyewe!!! Pia hakuna mwenye hatimiliki ya hilo jimbo, yeyote anaweza kugombea! Ni ushamba kufikiri ni lazima awe Gambo tu!