Pre GE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

Pre GE2025 Jimbo la Hai 2025 linakwenda na Fuya , Saashisha Mafue aanza ziara ya kuaga wapiga kura wake katika kata 17

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .

Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.

Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
 
Yeyote atakayesimama na Mbowe lazima aangushwe! Jimbo la Mbowe hilo!
 
Mwenye mada nakushairi mwenye hilo jimbo mtafute jamaa anaitwa Bollen Ngetti kaka. Huyu jamaa ndiye decider wa marimba ya Ubunge . Bara ni kachero wa kutupa na kumuona ni kama nungunungu.
 
Fuya Kimbita naona kakuajiri kwenye site zake 😂 😂 😂

Dogo una njaa sana
Yule ni CCM damu damu.

Na Wanaccm wanamkubali na wananchi wanamkubali sana .

Hakuna kuhesabu kura ! Ni kuzipanga TU na kwenda kuapishwa.
 
Wanaccm wote waliotia nia kugombea ubunge 2020 kura hazikutosha wameamua kumuunga mkono Kwa kura za ndiyo 2025.
 
Back
Top Bottom