peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Ni CCM?Siyo mbowe Tena?
Ndiye chaguo la Wana CCM na Wana Hai.Fuya wa Ununio?
Huyu jamaa Mbowe anamuogopa sana πππ₯
Ushamkimbia Mbowe πNdiye chaguonla Wana CCM na Wana Hai.
Yeyote atakayesimama na Mbowe lazima aangushwe! Jimbo la Mbowe hilo!CCM na wana-Hai wameshafanya maamuzi, Hai mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Fuya .
Saashisha ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Wanahai wako hai,hawatafanya makosa mwaka 2025.
Yule ni CCM damu damu.Fuya Kimbita naona kakuajiri kwenye site zake π π π
Dogo una njaa sana
Tatizo ni kusema ukweli au ni mbowe?Ushamkimbia Mbowe π