chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC