Kama kusimama wasimame tu, ila sio kushindana
Alifanya maajabu gani?CCM ni ile Ile ILEMELA wameisoma namba mpaka Wanamkumbuka KIWIA MBUNGE WA WATU WA ILEMELA
Hiyo ni sifa ya kuwa Mbunge?Vijana wa CCM...mko tayari kufi...rwa na wenye nazo...By the way hilo Jimbo nitata kuliko unavyo waza...Ubunge hapewi mtu kwa kujenga majumba kwa hela yake ndiye awe ...Halafu jamaa ni mfanyabiashara mkubwa na mwekezaji wa maana kabisa
Kiwia gan?CCM ni ile Ile ILEMELA wameisoma namba mpaka Wanamkumbuka KIWIA MBUNGE WA WATU WA ILEMELA
Kichaa wewe unayetukana bila kutoa maelezo ya kile unachofahamuKiwia gan?
Una KICHAA
Siyo rahisi ki hivyo, Jimbo la ilemela ni Jimbo Gumu hasa Kwa uchaguzi wa ndani wa chama, na Ili ushinde lazima mgonbea awe amezishika Kata 6 ambazo Huwa za kimkakati zaidi,CCM na wana-Ilemela wameshafanya maamuzi, Ilemela mwaka 2025 jimbo linakabidhiwa kwa Qwihaya. Angelina Mabula ameshaanza ziara katika Kata mbalimbali za jimbo hilo kwa ajili ya kuaga wapiga kura wake, na kuwashukuru kwa ushirikiano waliompa kwa kipindi chote.
Qwihaya ni mzaliwa wa Ilemela, njia ya kwenda airport, na sasa anaishi Kata ya Kiseke. Qwihaya amekuwa mhimili mkuu wa maendeleo tangu apate nafasi ya U-NEC