Uchaguzi 2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

wewe ndo pathetic hopeless.., kushikiwa akili, kuwahusudu na kua dictated na walevi wa kabila fulani, hta kama kweli mwigulu hafai si lazima wanyiramba wachague upinzani, mabadiliko yawezekana hta ndani ya chama hicho hicho cha mkulu.
Alishasema itategemea na alivyoamka siku hiyo hivyo huwezi kumpangia Mwenyekiti, Mwigulu atapita kwa upande wa CCM maana nafikiri ndiyo mwenye maisha mazuri Mkoa mzima wa Singida.
 
wewe ndo pathetic hopeless.., kushikiwa akili, kuwahusudu na kua dictated na walevi wa kabila fulani, hta kama kweli mwigulu hafai si lazima wanyiramba wachague upinzani, mabadiliko yawezekana hta ndani ya chama hicho hicho cha mkulu.
Kweli kabisa!
 
Wangekuwa siyo wavivu mgemchangua Mwigulu pamoja na kuwa na nyumba za tembe? chapeni kazi nitajie mnyiramba mmoja tajiri anayejulikana hapa nchini
Wapo wengi tu! Dkt Mwigulu mwenyewe tajiri sana tu!
 
Alishasema itategemea na alivyoamka siku hiyo hivyo huwezi kumpangia Mwenyekiti, Mwigulu atapita kwa upande wa CCM maana nafikiri ndiyo mwenye maisha mazuri Mkoa mzima wa Singida.
Utakua ulipitiwa mlango wa nyuma na mnyiramba ww na wambulu mnavogawa K ovyo kitaa kuna walakini. sio kwa chuki hizo ulizonazo dhidi yao. Alafu usichekeshe umati hapa, uko kwenu manyara kuna nini cha ziada knachokufanya ulete chuki zako za kikabila? Usituharibie tz mkuu, kosoa bila kuingiza ukabila, sio kenya hii.
 
Duuuhhh. Makubwa....
 
Wana Iramba habari.
Kama kuna mambo ya kufanyia majaribio na mambo mengine siyo, mkumbuke kuna watu kazi yao ni kutaka kuharibu tu.
Tuna mbunge wetu, wa kwetu wenyewe mzawa ( local native) na mzalendo kwa nchi yetu na msomi Mwigulu Lameck Mchemba, hakuna haja ya kuanza kufanya majaribio nyakati hizi za kazi na mh Rais wetu wa kazi MAGUFULI.
Mwigulu amepikwa kimila, darasani na siasani ni mjuvi wa mambo na ni moja kati ya vijana wa nchi hii wenye uthubutu, maono, na asiyetetereka.
Kwa kuwa tuka naye hapa Iramba tusimbeze ila tumtie moyo anafanya kazi nzuri sana,kama huamini waulize wenzetu kwenye majimbo mengine watakwambia maana kuna orodha ya wabunge watoro, waliokuwa mawaziri mizigo zinasambaa mitandaoni.
Kwangu mimi sisi wana Iramba tunamuhitaji mh Mwigulu zaidi ya yeye anavyotuhitaji sasa.
Mwigulu siyo wa ( local level) hapa, huyo ni national figure with an international repute, anaweza kuwa mbunge kokote kadri atakavyopendezwa iwe Dar,Arusha, Morogoro, Mwanza, Manyara, Pwani nk.
Kaka mwigulu wananchi wako sisi tunakuomba tena uchukue form na tunawaomba wajumbe wa mkutano mkuu CCM wilaya wakupitishe uje tukuchague umalizie kazi uliyoianza.
Umeweka kumbukumbu kwetu hatutaki kufanya majaribio.
Viva Mwigulu,
Viva Iramba.
 
Kwahiyo Manyara kuna nyumba za tembe?
 
Unajikomba komba tu. Acha watu watumie haki waliyonayo ya kuchaguliwa na kuchagua!
 
Kweli we Malaika Mkuu! Binadamu awa Malaika!
 
Mwigulu atawapa tabu sana
Jifunzeni siasa ndiompambane naye
 
Kufanya kazi
Kazi gani mkuu, hizi kazi tunazofanya unatufanyie wewe??
Nyumba tunazojenga unatujengea wewe?? Mashamba yanayotupa chakula unatulimia wewe?? Au unataka tuwe Kama wasukuma kuendesha daladala za baiskeli na kusukuma maguta mjini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…