Uchaguzi 2020 Jimbo la Iramba hakika ni kumi yatosha!

Wangekuwa siyo wavivu mgemchangua Mwigulu pamoja na kuwa na nyumba za tembe? chapeni kazi nitajie mnyiramba mmoja tajiri anayejulikana hapa nchini
Hatuko kwenye misifa ya kijinga, ukipata milioni unajiona tajiri unataka wakujue. Wanyiramba sio wa maneno maneno na kelele nyingi. Nenda iramba kajionee hayo matembe unayoyasema. Utakufa na chuki zako. Nenda singida mkoani pale uone wanyiramba matajiri lakini husikii kelele za kishamba.
 
Matajiri Singida wapo lakini ni wahindi na warabu wenyeji ni vibarua wa wahindi na warabu
Hao wahindi wenyewe wamekimbia. Wakati nakuwa kiomboi ilikuwa ya wahindi na waarabu lakini Sasa kajionee, biashara zote kubwa ni za wanyiramba. We sema unachuki na wanyiramba. Ichukie ccm Ila ukisema wanyiramba unakuwa umejaa ujinga tu. Ccm hata Mimi siikubali Ila tz yote imeshindwa kufanya mabadiliki.
 
Ukibishana sana na mpuuzi atakushusha then atakufanya nawe uonekane mpuuzi. Achana naye! Hata waSukuma wanatunajua Wanyiramba tupo gado sana!
 
Kazi gani mkuu, hizi kazi tunazofanya unatufanyie wewe??
Nyumba tunazojenga unatujengea wewe?? Mashamba yanayotupa chakula unatulimia wewe?? Au unataka tuwe Kama wasukuma kuendesha daladala za baiskeli na kusukuma maguta mjini??
Kwanini hamendelei mkuu? nyumba za tembe, hebu niambie kuna shule/chuo gani private ambayo inasifika? barabara ya lami au hosp kubwa?
 
Hatuko kwenye misifa ya kijinga, ukipata milioni unajiona tajiri unataka wakujue. Wanyiramba sio wa maneno maneno na kelele nyingi. Nenda iramba kajionee hayo matembe unayoyasema. Utakufa na chuki zako. Nenda singida mkoani pale uone wanyiramba matajiri lakini husikii kelele za kishamba.
Mkuu utakuwa unaota fedha haijifichi, Iramba tajiri? tetetetetetetetetetetetetet
 
Hao wahindi wenyewe wamekimbia. Wakati nakuwa kiomboi ilikuwa ya wahindi na waarabu lakini Sasa kajionee, biashara zote kubwa ni za wanyiramba. We sema unachuki na wanyiramba. Ichukie ccm Ila ukisema wanyiramba unakuwa umejaa ujinga tu. Ccm hata Mimi siikubali Ila tz yote imeshindwa kufanya mabadiliki.
Mkuu ukweli unauma sana, huwezi kumchagua Mwigulu kama kichwani ni mzima, anatumia umasikini wenu kama daraja.
 
Mkuu utakuwa unaota fedha haijifichi, Iramba tajiri? tetetetetetetetetetetetetet
Wapi wanautajiri?? Nchi nzima masikini ukiwamo wewe, sema tu unakiburi. Kuna maene nchi hii watu Wana nyumba za fito na udongo, ukipiga ngumi tu unaingia ndani. Iramba matembe ni kidogo Sana na mengi ni kutunzia mifugo.
Tunalima, tunachimba madini na hutakuja usikie iramba inaomba chakula Cha msaada, kiufupi tunajitosheleza we fia mbali na chuki zako.
 
Mkuu usichukie ukweli lazima usemwe, nitajie shule ya maana Iramba hata moja
 
Unaweza kuingia mtandaoni ukaziona. We sema unamchukia mwigulu nchemba. Ila haikusaiildii. Pambana na Hali yako.
Kama hakunan shule mbona wapo wanyiramba wasomi wengi tu.
Chuki haisaidii kuleta mabadiliko, nchi nzima mmeshindwa kufanya mabadiliko,
Kwenu we wapi ambapo mna mnaendeleo Kama Dubai. Kama sio nchi nzima mnakula vumbi tu na vieneo vichache chache vyenye nafuu na ambavyo hata iramba ni hivyo hivyo.
 
Unamchukia wanyiramba Lisa hutaki mwigulu aendelee kuwa mbunge, huu ni uvivu wa kufikiri. Andamana nchi nzima ccm itoke sio unamchukia wanyiramba.
 
Wanyiramba akili zenu zina shida Mwigulu atawatesa sn, bahati mbaya hata wakituma ushahidi chama ni mali ya mtu binafsi na Mwigulu sasa ni lulu kwa mwenye chama chake. Hopeless nyie chagueni upinzani
Hivi dr Kitila ndo kaenda huko? Tayari kesha pigwa
 
Back
Top Bottom