MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,365
Hatuko kwenye misifa ya kijinga, ukipata milioni unajiona tajiri unataka wakujue. Wanyiramba sio wa maneno maneno na kelele nyingi. Nenda iramba kajionee hayo matembe unayoyasema. Utakufa na chuki zako. Nenda singida mkoani pale uone wanyiramba matajiri lakini husikii kelele za kishamba.Wangekuwa siyo wavivu mgemchangua Mwigulu pamoja na kuwa na nyumba za tembe? chapeni kazi nitajie mnyiramba mmoja tajiri anayejulikana hapa nchini
Hao wahindi wenyewe wamekimbia. Wakati nakuwa kiomboi ilikuwa ya wahindi na waarabu lakini Sasa kajionee, biashara zote kubwa ni za wanyiramba. We sema unachuki na wanyiramba. Ichukie ccm Ila ukisema wanyiramba unakuwa umejaa ujinga tu. Ccm hata Mimi siikubali Ila tz yote imeshindwa kufanya mabadiliki.Matajiri Singida wapo lakini ni wahindi na warabu wenyeji ni vibarua wa wahindi na warabu
Ukibishana sana na mpuuzi atakushusha then atakufanya nawe uonekane mpuuzi. Achana naye! Hata waSukuma wanatunajua Wanyiramba tupo gado sana!Hao wahindi wenyewe wamekimbia. Wakati nakuwa kiomboi ilikuwa ya wahindi na waarabu lakini Sasa kajionee, biashara zote kubwa ni za wanyiramba. We sema unachuki na wanyiramba. Ichukie ccm Ila ukisema wanyiramba unakuwa umejaa ujinga tu. Ccm hata Mimi siikubali Ila tz yote imeshindwa kufanya mabadiliki.
Hii inafaa iwe Ni kwa nchi nzima wabunge wanatudharau Sana wakati kura tunawapigia sisiKumi ya tosha Dr Mwigulu omba kazi IMF utuwakilishe kimataifa zaidi
Kwanini hamendelei mkuu? nyumba za tembe, hebu niambie kuna shule/chuo gani private ambayo inasifika? barabara ya lami au hosp kubwa?Kazi gani mkuu, hizi kazi tunazofanya unatufanyie wewe??
Nyumba tunazojenga unatujengea wewe?? Mashamba yanayotupa chakula unatulimia wewe?? Au unataka tuwe Kama wasukuma kuendesha daladala za baiskeli na kusukuma maguta mjini??
Mkuu utakuwa unaota fedha haijifichi, Iramba tajiri? tetetetetetetetetetetetetetHatuko kwenye misifa ya kijinga, ukipata milioni unajiona tajiri unataka wakujue. Wanyiramba sio wa maneno maneno na kelele nyingi. Nenda iramba kajionee hayo matembe unayoyasema. Utakufa na chuki zako. Nenda singida mkoani pale uone wanyiramba matajiri lakini husikii kelele za kishamba.
Mkuu ukweli unauma sana, huwezi kumchagua Mwigulu kama kichwani ni mzima, anatumia umasikini wenu kama daraja.Hao wahindi wenyewe wamekimbia. Wakati nakuwa kiomboi ilikuwa ya wahindi na waarabu lakini Sasa kajionee, biashara zote kubwa ni za wanyiramba. We sema unachuki na wanyiramba. Ichukie ccm Ila ukisema wanyiramba unakuwa umejaa ujinga tu. Ccm hata Mimi siikubali Ila tz yote imeshindwa kufanya mabadiliki.
Wapi wanautajiri?? Nchi nzima masikini ukiwamo wewe, sema tu unakiburi. Kuna maene nchi hii watu Wana nyumba za fito na udongo, ukipiga ngumi tu unaingia ndani. Iramba matembe ni kidogo Sana na mengi ni kutunzia mifugo.Mkuu utakuwa unaota fedha haijifichi, Iramba tajiri? tetetetetetetetetetetetetet
Mkuu usichukie ukweli lazima usemwe, nitajie shule ya maana Iramba hata mojaWapi wanautajiri?? Nchi nzima masikini ukiwamo wewe, sema tu unakiburi. Kuna maene nchi hii watu Wana nyumba za fito na udongo, ukipiga ngumi tu unaingia ndani. Iramba matembe ni kidogo Sana na mengi ni kutunzia mifugo.
Tunalima, tunachimba madini na hutakuja usikie iramba inaomba chakula Cha msaada, kiufupi tunajitosheleza we fia mbali na chuki zako.
Hivi dr Kitila ndo kaenda huko? Tayari kesha pigwaWanyiramba akili zenu zina shida Mwigulu atawatesa sn, bahati mbaya hata wakituma ushahidi chama ni mali ya mtu binafsi na Mwigulu sasa ni lulu kwa mwenye chama chake. Hopeless nyie chagueni upinzani
Yuko hoiHivi dr Kitila ndo kaenda huko? Tayari kesha pigwa