The Dreamer
JF-Expert Member
- Feb 2, 2009
- 1,282
- 21
Habari za uhakika kutoka Karagwe zinadai CCM wamenyolewa manyoya kwa maji baridi na hawakuondoka na kitu kata ya Ndama. Jimbo hili ni kubwa kwa hiyo sherehe hazijaanza ila council huenda imeanguka mikononi mwa CHADEMA tayari. Shangilia ushindi unakuja
Vipi maeneo ya Bushangaro, hasa Nykakika, Kibondo na Kiruruma? Na je vipi hali hapo Nyaishozi, maeneo ya Nyakayanja, Ihembe 1 & 2? Na Nyakahanga? Lete nyuz mkuu acha longolongo.
Ndiyo maana nikasema wilaya kubwa si unajua mpaka kitete na Nyaishozi! Ila kwa ujumla wanasema karagwe poa. Tutajua kesho
Habari za uhakika CHADEMA WAPATA Mbunge ULANGA