Elections 2010 Jimbo la Karagwe: Bundi kalia CCM

The Dreamer

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2009
Posts
1,282
Reaction score
21
Habari za uhakika kutoka Karagwe zinadai CCM wamenyolewa manyoya kwa maji baridi na hawakuondoka na kitu kata ya Ndama. Jimbo hili ni kubwa kwa hiyo sherehe hazijaanza ila council huenda imeanguka mikononi mwa CHADEMA tayari. Shangilia ushindi unakuja
 
Vipi maeneo ya Bushangaro, hasa Nykakika, Kibondo na Kiruruma? Na je vipi hali hapo Nyaishozi, maeneo ya Nyakayanja, Ihembe 1 & 2? Na Nyakahanga? Lete nyuz mkuu acha longolongo.
 
Hebu jaribu kumpigia huyu mtu...atakupa details zaidi.. 0755 664971
 
Vipi maeneo ya Bushangaro, hasa Nykakika, Kibondo na Kiruruma? Na je vipi hali hapo Nyaishozi, maeneo ya Nyakayanja, Ihembe 1 & 2? Na Nyakahanga? Lete nyuz mkuu acha longolongo.

Ndiyo maana nikasema wilaya kubwa si unajua mpaka kitete na Nyaishozi! Ila kwa ujumla wanasema karagwe poa. Tutajua kesho
 
Asante kwa tetesi, bado taarifa kamili
 
Back
Top Bottom