Hazitaki au muda umeisha?Ni sheria za uchaguzi, hakutakua na uchaguzi mdogo mpaka uchaguzi mkuu Oktoba.
Siku hizi sheria hazifuatwi kihivyo. Uchaguzi hautakiwi kwa sasa maana kwenye kampeni kutapandisha joto la no reforms, no election.Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini?
Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu?
Kama sikosei sheria inasema miezi 6 kabla ya bunge kuvunjwa uchaguzi ndio utafanyika.Ni sheria za uchaguzi, hakutakua na uchaguzi mdogo mpaka uchaguzi mkuu Oktoba.
Basi badala kuongeza majimbo tupunguze, mikoa iwe majimbo ya uchaguzi.Siku hizi sheria hazifuatwi kihivyo. Uchaguzi hautakiwi kwa sasa maana kwenye kampeni kutapandisha joto la no reforms, no election.
Hata hivyo kwa kuangalia muundo wa kiutawala na kiuongozi, hata mbunge asipokuwepo hakuna athari ya msingi, hasa kama mbunge wake alikuwa ni wa kuunga mkono chochote kinacholetwa na serekali, bungeni ama nje.
Mapendekezo hayo yapo kwenye rasimu ya Jaji Warioba, hata viti maalum havitakiwi.Basi badala kuongeza majimbo tupunguze, mikoa iwe majimbo ya uchaguzi.
Kwahiyo alikufa muda mbaya?Kama sikosei sheria inasema miezi 6 kabla ya bunge kuvunjwa uchaguzi ndio utafanyika.
Chini ya mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu hakunaga uchaguzi mdogo!Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini?
Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu?
Yes,muda hauruhusu?
Duh, sasa kigamboni wana wakilishwaje kipindi hiki?Chini ya mwaka mmoja kuelekea uchaguzi mkuu hakunaga uchaguzi mdogo!
Kigamboni walipaswa kupata mbunge, maana alifariki zaidi ya miezi 6 kabla ya bunge kuvunjwa. Ila hofu ni kuwa uchaguzi ukifanyika sasa utasababisha nio ovu ya wizi wa uchaguzi mkuu kuonekana. Na neno no reforms, no election litashika kasi.Kwahiyo alikufa muda mbaya?
Alipaswa afe lini ili kigamboni wapate mbunge mwingine?
Sasa wananchi wanawakilishwaje muda huu, au wanaadhibiwa kwa mbunge wao kufariki kipindi kibaya?Yes
P
Lakini no reform no election ina mwezi mmoja tu tangu ianzishwe?Kigamboni walipaswa kupata mbunge, maana alifariki zaidi ya miezi 6 kabla ya bunge kuvunjwa. Ila hofu ni kuwa uchaguzi ukifanyika sasa utasababisha nio ovu ya wizi wa uchaguzi mkuu kuonekana. Na neno no reforms, no election litashika kasi.
Mbunge ww ccm hata asipokuwepo hakuna madhara, maana michango ya wabunge wa ccm hudhibitiwa na party caucus ya chama, hivyo awepo asiwepo ni sawa tu. Na uchaguzi ukifanyika ni kupoteza muda, kwani mbunge wa atatangazwa kimabavu. Na pia ni kutoa fursa kwa vyama vya upinzani kuamsha hisia za watu dhidi ya ulegelege wa ccm, na wizi wao wa kura.Sasa wananchi wanawakilishwaje muda huu, au wanaadhibiwa kwa mbunge wao kufariki kipindi kibaya?
Karibu Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!Sasa wananchi wanawakilishwaje muda huu, au wanaadhibiwa kwa mbunge wao kufariki kipindi kibaya?
Hiyo no reform no election ilipitishwa na vikao halali vya cdm Freeman Mbowe akiwa bado mwenyekiti. Ila sasa Lisu ndio anaipazia sauti sana.Lakini no reform no election ina mwezi mmoja tu tangu ianzishwe?
Dr.Ndugulile alikuwa kesha fariki.