Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kama angekuwa wa upinzani nadhani isingekuwa hivi ilivyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gentleman,Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini?
Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu?
Ila uwepo wao na kutafuna bure kodi za mlala hoi kwa hisani ya chama twawala,ni aibu,na hujuma kwa chama kilichowalea,taifa na kwa watanzania wote.
wabunge wanalipwa milioni 500 za kiinua mgongo.
Pesa za mfuko wa jimbo zinamsimamizi ambaye ni mbunge.
Jimbo lina muwakilishi bungeni.