Vyama vya siasa havina interest au vimekata tamaa au vimesusa?Kwa ufahamu wangu, Kwa sheria za tume ya uchaguzi, hilo jimbo uchaguzi unapaswa kufanyika, na kwa sasa michakato ya uchaguzi ilipaswa iwe imekamilika.
Hawa wataenda kusameheana, na watabaki CHADEMA.
Kwa maana hiyo vyama vingine ndio vinaogopa uchaguzi kwasababu vinajua havita shinda?Mbunge ww ccm hata asipokuwepo hakuna madhara, maana michango ya wabunge wa ccm hudhibitiwa na party caucus ya chama, hivyo awepo asiwepo ni sawa tu. Na uchaguzi ukifanyika ni kupoteza muda, kwani mbunge wa atatangazwa kimabavu. Na pia ni kutoa fursa kwa vyama vya upinzani kuamsha hisia za watu dhidi ya ulegelege wa ccm, na wizi wao wa kura.
Hii ina uhusiano gani ma huu ubunge wa kigamboni kaka? Nimeoma kwa haraka sikuona uhusiano wowote, naweza kuwa sikuelewa au nime ruka maana.
wabunge wanalipwa milioni 500 za kiinua mgongo.Majimbo yenye uwakilishi yana nini Cha ajabu?
Vyama vingine ndio vinapanga uchaguzi usiwepo? Na kwa taarifa yako Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.Kwa maana hiyo vyama vingine ndio vinaogopa uchaguzi kwasababu vinajua havita shinda?
Sasa itakuwaje October 2025?
Unajua utaratibu wa kuzitoa pesa za mfuko wa jimbo, au ukisikia msimamizi ni mbunge basi unadhani ndio mwenya maamuzi yote?wabunge wanalipwa milioni 500 za kiinua mgongo.
Pesa za mfuko wa jimbo zinamsimamizi ambaye ni mbunge.
Jimbo lina muwakilishi bungeni.
Kwa hiyo ndio kusema chadema haina interest na jimbo la kigamboni au hiyo no reform no election ina pinga uchaguzi?Hiyo no reform no election ilipitishwa na vikao halali vya cdm Freeman Mbowe akiwa bado mwenyekiti. Ila sasa Lisu ndio anaipazia sauti sana.
Kuna watu wana kitu kinachoitwa inquisitive, the urge to know, wewe umeuliza swali, ukajibiwa na link, ungekuwa inquisitive, ungefungua hiyo link, ukishindwa ku connect ndipo unauliza.Hii ina uhusiano gani ma huu ubunge wa kigamboni kaka? Nimeoma kwa haraka sikuona uhusiano wowote, naweza kuwa sikuelewa au nime ruka maana.
Nimefungua nikaisoma, ndio maana nikakuuliza kaka.Kuna watu wana kitu kinachoitwa inquisitive, the urge to know, wewe umeuliza swali, ukajibiwa na link, ungekuwa inquisitive, ungefungua hiyo link, ukishindwa ku connect ndipo unauliza.
P
Sijui tupe elimuUnajua utaratibu wa kuzitoa pesa za mfuko wa jimbo, au ukisikia msimamizi ni mbunge basi unadhani ndio mwenya maamuzi yote?
Hakuna msemaji wa hivyo vyama hapa, sisi ni members wa jf, sio wasemaji wa chama chochote cha siasa.Kwa hiyo ndio kusema chadema haina interest na jimbo la kigamboni au hiyo no reform no election ina pinga uchaguzi?
Vipi vyama vingine, na tume inasemaje inakubali no reform no election?
Huna ujualo boss, sana sana naona unapiga siasa mfu tu hapa jukwaani.Sijui tupe elimu
Nimeuliza general sikumaanisha wewe ni msemaji wavyo, au tume.Hakuna msemaji wa hivyo vyama hapa, sisi ni members wa jf, sio wasemaji wa chama chochote cha siasa.
Ndio maana niko hapa kujifunza.Huna ujualo boss, sana sana naona unapiga siasa mfu tu hapa jukwaani.
Then tatizo ni uelewa!. UmeulizaNimefungua nikaisoma, ndio maana nikakuuliza kaka.
Nitakujibu kwa link Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote!Sasa wananchi wanawakilishwaje muda huu, au wanaadhibiwa kwa mbunge wao kufariki kipindi kibaya?
PWanabodi
Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tu baada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge.
Hivyo nashauri Chadema iachane na hili jambo, kwa muda huu uliobakia kabla ya kuvunjwa kwa bunge, hakuna tena uchaguzi mdogo wowote,
Hahaha wasikusikie Team Lisu, watakutoa nyongo.Hawa wataenda kusameheana, na watabaki CHADEMA.
Mchango wa Ester Bulaya Bungeni hivi majuzi akimsifia TAL umenifanya niamini hivyo.
Nitarudi tena niangalie tenaThen tatizo ni uelewa!. Umeuliza
Nitakujibu kwa link
Ukiifungua unakutana na jibu la swali lako.
P
Hili nimelielewa, kumbe sheria zimefunga mlango.Yes
Kwa mujibu wa Ibara ya 49 (5) ya Sheria Mpya ya Uchaguzi inasema (5) Endapo uchaguzi mdogo unatakiwakufanyika na tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge imetangazwa au imejulikana kwa mujibu wa matukio yaliyo ainishwa katika Ibara ya 90(3) ya Katiba, uchaguzi mdogo hautafanyika katika muda wowote wakati wa kipindi cha miezi kumi na mbili mara tu baada ya tarehe ya kuvunjwa kwa Bunge
P