Huruma siyo malezi JF-Expert Member Joined Jul 18, 2020 Posts 1,433 Reaction score 3,210 Feb 24, 2025 #41 Kama angekuwa wa upinzani nadhani isingekuwa hivi ilivyo,
Crimea JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 25,874 Reaction score 36,030 Feb 24, 2025 #42 Ndio ujue kwamba wabunge hawana impact yeyote kwa wanachi.
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Feb 24, 2025 #43 Nanye Go said: Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini? Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu? Click to expand... Gentleman, Iko hivi, ikiwa umesalia chini ya mwaka moja pafanyike uchaguzi mkuu na mbunge au muwakilishi wa Jimbo fulani akaaga dunia, basi hapatafanyika uchaguzi mpaka uchaguzi mkuu, hiyo ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒
Nanye Go said: Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini? Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia Tume imesahau au wanasiasa wamesahau, au muda hauruhusu? Click to expand... Gentleman, Iko hivi, ikiwa umesalia chini ya mwaka moja pafanyike uchaguzi mkuu na mbunge au muwakilishi wa Jimbo fulani akaaga dunia, basi hapatafanyika uchaguzi mpaka uchaguzi mkuu, hiyo ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi 🐒
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Feb 24, 2025 #44 Tunajiwakilisna wenyewe acha ujinga... Kigamboni ni akili kubwa
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Feb 24, 2025 #45 Pascal Mayalla said: Karibu Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote! P Click to expand... Ila uwepo wao na kutafuna bure kodi za mlala hoi kwa hisani ya chama twawala,ni aibu,na hujuma kwa chama kilichowalea,taifa na kwa watanzania wote.
Pascal Mayalla said: Karibu Ushauri wa bure: CHADEMA iachane na issue ya Wabunge wake 19, iwasamehe waendelee na Ubunge wao. Kwa muda uliobakia kuwatengua hakuna maslahi yoyote! P Click to expand... Ila uwepo wao na kutafuna bure kodi za mlala hoi kwa hisani ya chama twawala,ni aibu,na hujuma kwa chama kilichowalea,taifa na kwa watanzania wote.
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Feb 24, 2025 #46 Nanye Go said: wabunge wanalipwa milioni 500 za kiinua mgongo. Pesa za mfuko wa jimbo zinamsimamizi ambaye ni mbunge. Jimbo lina muwakilishi bungeni. Click to expand... Hujajibu swalu; kuna tofauti gani ya Kigamboni na majimbo yenye hao wabunge hewa wapiga makofi tu?
Nanye Go said: wabunge wanalipwa milioni 500 za kiinua mgongo. Pesa za mfuko wa jimbo zinamsimamizi ambaye ni mbunge. Jimbo lina muwakilishi bungeni. Click to expand... Hujajibu swalu; kuna tofauti gani ya Kigamboni na majimbo yenye hao wabunge hewa wapiga makofi tu?
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Feb 24, 2025 #47 Unaelewa nini kuhusu neno "kiti" na kiti