small mind
Senior Member
- Jun 1, 2012
- 129
- 58
- Thread starter
- #41
Mkuu,Katika siasa kama ukichukulia maamuzi kwamba mtu hajakuchagua ni kwamba hakupendi basi utakuwa hujuai siasa.Maamuiz ya kisiasa yana mambo mengi sana ila kupendwa na kutopendwa sio moja wapo.Binafsi sidhani kama sipendwi ninachoamini ni kwamba Wajumbe walifanya uamuzi na uamuzi wao lazima uheshimiweUlipogombea kupitia ccm ,ujakubari tu kuwa upendwi.