HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Heri iwe hivyo japo wote ni chawaUkweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa.
Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI.
JIFUNZENI NA NADILIKENI WASOMI NDIYO WAMETUFIKISHA HAPA!!
Amen
Haya ni mavi wala si mkojo mwanangu.Chagua nikupake mavi au nikukojolee, is basically the voter's choice here
Dalali aliambiwa lakini kwamba hatashinda. Alishupaza fuvu.Ukweli humuweka mtu huru haya wale wasiyojua siasa na wenye mihemko ya kisiasa yako wapi msomi wenu kashindwa na amekubali kushindwa.
Uongozi siyo elimu bali kipawa kutoka kwa mwenyezi Mungu ndiyo maana bado kuna watu wanawaheshimu wazee ktk maamuzi kuliko WASOMI.
JIFUNZENI NA NADILIKENI WASOMI NDIYO WAMETUFIKISHA HAPA!!
Kwanini hukugombea wewe msomi au kwanini hao wasomi wako washindwe?Hii nchi bhana daaah hivi baba levo kwa mikataba na sheria mbalimbali znazoletwa bungen ana uwezo gn wa kuyasoma tn kwa lugha ya kngereza na achangie achen masihala kbs na taifa hili ni heri liungue tufe wote kbs kije kzaz kngne hakuna popote ccm wanaweza lifksha hili taifa wkt hata maji tu yamewashnda halafu wabunge wnyw ndo hawa akna baba levo, babu tale, mama kikwete aisee nina uchungu sn jamani.
aisee ngoja niskujbu tu maana naweza shusha matusi mazto sn ccm ccm nyie watu wa ccm nyie aisee am so sad na taifa hili na watanganyika ila ole wenu ole ole ole ole wenu ccm.Kwanini hukugombea wewe msomi au kwanini hao wasomi wako washindwe?
Unadhani matusi ndiyo yatakayoleta mapinduzi ?huo ujinga wa matusi ndiyo umewafikisha hapoaisee ngoja niskujbu tu maana naweza shusha matusi mazto sn ccm ccm nyie watu wa ccm nyie aisee am so sad na taifa hili na watanganyika ila ole wenu ole ole ole ole wenu ccm.
98% πππIngawa simkubali AYAToLAH ila wewe unaamini kabisa ,kwamba kulikuwa na UCHAGUZI HURU NA WA HAKI???..