Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Ushirikina wenyewe ni porojo tuHabari wa JF,
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata.
Chanzo changu kilichonitonya taarifa hii kinasema makada wengi wanamuogopa sana Mpina kwasababu ya mizizi aliyoiweka jimboni humo na kukubalika sana na wananchi wake pamoja na wanaCCM wenyewe.Pia inatajwa imani za kishirikina,mwamba inasemekana yupo vizuri katika eneo hilo,hivyo wengi kuwa na uoga wa kumvaa na hata kuogopa kuchukua fomu.
Pamoja na Rais kumsema namna hasi,lakini bado jamaa ananguvu kubwa Kisesa.Sasa itakuaje wakati Mbunge huyu aliyetajwa kama Mbunge wa kitaifa akirudi kuchukua fomu na kurudisha peke yake
Ngoja tuone mwisho wa jambo hili.
Ni meseji kwa yule bibi wa vichengerwaHabari wa JF,

Tuletee ukweli mkuuPorojo tu
Kama ana jeuri ajiteue tu!!Habari wa JF,

Akichukua peke yake itakuaje? Wakubwa wanasahau hata Rais Fomu ni moja 😀Kama ana jeuri ajiteue tu!!
Samia sidhani kwa mawazo yangu anaweza kumpa upm jamaa😀Mpina atakuwa amekomaa sana kisiasa , hii itakuwa kete nzuri sana kwa Raisi Samia Kujijenga kwa nafasi ya PM.
Kanda ya ziwa kwa kiwango kikubwa wanajua makeke ya Mpina, tuseme anafaa kuwa PM mzuri.
Kwa CCM mwamuzi wa mwisho ni mwenyekiti ambaye ni rais. Huyu akikukataa, hata Tanzania yote ikupenda, huendi mahali.Habari wa JF,
Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata.
Chanzo changu kilichonitonya taarifa hii kinasema makada wengi wanamuogopa sana Mpina kwasababu ya mizizi aliyoiweka jimboni humo na kukubalika sana na wananchi wake pamoja na wanaCCM wenyewe.Pia inatajwa imani za kishirikina,mwamba inasemekana yupo vizuri katika eneo hilo,hivyo wengi kuwa na uoga wa kumvaa na hata kuogopa kuchukua fomu.
Pamoja na Rais kumsema namna hasi,lakini bado jamaa ananguvu kubwa Kisesa.Sasa itakuaje wakati Mbunge huyu aliyetajwa kama Mbunge wa kitaifa akirudi kuchukua fomu na kurudisha peke yake
Ngoja tuone mwisho wa jambo hili.
Habari wa JF, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata. Chanzo changu kilichonitonya taarifa hii kinasema makada wengi wanamuogopa sana Mpina kwasababu ya mizizi aliyoiweka jimboni humo na kukubalika sana na wananchi wake pamoja na wanaCCM wenyewe.Pia inatajwa imani za kishirikina,mwamba inasemekana yupo vizuri katika eneo hilo,hivyo wengi kuwa na uoga wa kumvaa na hata kuogopa kuchukua fomu. Pamoja na Rais kumsema namna hasi,lakini bado jamaa ananguvu kubwa Kisesa.Sasa itakuaje wakati Mbunge huyu aliyetajwa kama Mbunge wa kitaifa akirudi kuchukua fomu na kurudisha peke yake Ngoja tuone mwisho wa jambo hili.
Sio uwaziri mkuu, hata ubunge hatoboi. Akichukua form watamuandalia mpinzani feki na kumtangaza kibabe. Hiyo imeenda. Alikuwa lakini sasa sio. CCM kwa fitna hakuna mfano.Samia sidhani kwa mawazo yangu anaweza kumpa upm jamaa😀