Jimbo la Manonga - Wilaya ya Igunga

Jimbo la Manonga - Wilaya ya Igunga

At just 39, mother-of-three Tanzeela Qambrani has made history. Qambrani secured a seat in the legislature of Sindh province in Pakistan, making her the first member of the Sheedi minority to become a lawmaker in Pakistan. Unlike other minorities in the country, the Sheedis can trace their roots far beyond Sindh — they are the descendants of the African slaves, sailors, and soldiers who made South Asia their home in centuries past.

Source: THE DIPLOMAT

Hicho ni kisa cha Tanzeela Qambrani MPAKISTANI MWENYE ASILI YA AFRIKA MASHARIKI.

Tanzeela Qambrani

Nawewe unakomaa na huyu Mtanzania Seif Khamis Gulamali
👇
View attachment 2802406
View attachment 2802409
Ndugu Netanyahu acha roho mbaya.
Mkuu siuende na wewe India au Zanzibar ukawe Diwani
 
Wewe jamaa ni Gulamali mwenyewe unajipigia promo
Mimi ni jirani yako pale Igunga nyuma ya mashine za mpunga za Mabera kwenye zizi lako la mbuzi,tuwasiliane pm tuyajenge
Utapigwa ban kwa sheria no.11 ya jf, iitwayo: name calling....mkuu( ukiripotiwa tayari umeenda)
 
Seif Khamis Said Gulamali (amezaliwa 3 Oktoba 1984) ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Manonga kwa miaka 20152020. [1]

Maishahariri

Amezaliwa katika jiji la Mwanza. Amesoma shule mbili tofauti za msingi: alisoma katika Shule ya Msingi Kharumwa Wilaya ya Nyang'hwale (sasa Mkoa wa Geita) kwa kuanzia darasa la 1 mpaka darasa la 3 na kuhamia Tabora ambako alisoma katika Shule ya Msingi Chemchem.

Sekondari pia amesoma katika shule mbili: alianzia Shule ya Sekondari Kazima Sekondari Kidato cha Kwanza mwaka 2001 na baadae alihamia Shule ya Sekondari Mihayo (St'Mary's) kwa kuendelea na Kidato cha Pili mpaka Kidato cha Nne mwaka 2002-2004.

Alijiunga na Shule ya Sekondari Jamhuri ya Dodoma kwa Kidato cha 5 na 6 mwaka 2006-2008 na kujiunga na Chuo ambapo aliweza kusomea Masuala ya Usafirishaji katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa Shahada ya Freight Clearing and Forwading kuanzia mwaka 2008 mpaka 2011.
 
Gulamali anajitahidi, niliwahi kukutana naye kwenye msibabmmoja hapo jimboni kwake. Sema chama kinamuangusha.
 
Back
Top Bottom