Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mbeya hamfai... mmemfanya shemeji yangu chalamila kupata kiharusiumeuliza majibu mkuu , Lissu kateketeza vijiji vyote , wakulima wote waliodhulumiwa wameahidi kumpa Lissu kura zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbeya hamfai... mmemfanya shemeji yangu chalamila kupata kiharusiumeuliza majibu mkuu , Lissu kateketeza vijiji vyote , wakulima wote waliodhulumiwa wameahidi kumpa Lissu kura zote
TayariMawakala wameapishwa?!!
CCM kwishaaaaaa,kwishaaaaa kwishaaaaa,kwishaaaaa kabisa,ndembendembe mlalo wa chali kifo, Cha mende.Tayari
Njaa imeleta akiliAsanteni wananchi kujitambua.
Endeleeni kujifariji ila ukweli ni kuwa October 28th ni JPM,wabunge na madiwani wa CCM Tuu.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Wewe zezeta kweli kwani sauli bado anagombea ubunge mbarari?Mbarali tunaenda na saul
Chadema wametutesa sana, hatuwataki
So, there are no idiots in America?Libe is the real deal. America does not train idiots
Huyu Libe kama yule mshikaji Genius, namuonaga Fox News na BBC ndio power behind him kama nilivyosikia, basi atafika mbali sana. Jamaa is connected and very powerful kwa mwafrika. Alikuwa anaandikaga economic articles hapa JF
articles za kufa mtu. Jina linanitoka lakini jamaa yuko Wallstreet, ndio mmoja wa ma geniuses wa Wallstreet
jamaa ana hali mbaya sana mbarali tunaenda na mtegaEndeleeni kujifariji ila ukweli ni kuwa October 28th ni JPM,wabunge na madiwani wa CCM Tuu.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hao waliovaa kijani wakifika kwao watashughulikiwaHii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
View attachment 1611025View attachment 1611026View attachment 1611027View attachment 1611028
Acha uongo aiseeMkuu acha kudanganya watu ambao hawakuwepo..
Mimi kabla yakuja Hapo ubaruku nilipita Igawa, Rejewa ili kufanya utafiti na kuona Hali kwa ujumla juu ya huo mkutano na ukweli nikuwa watu hawakuwa na mwamko kabisa..
Ubaruku nilikuta pamepoa Sana mpaka naodoka zangu Mkutano ulikuwa umepoa mnoo zaidi ya kelele tu za Watoto na Wahuni wa stand.
NIKO APA IGAWA, CHADEMA HILOJIMBO HAMTAPATA ATA DIWANI MUMOJA. IMEBAKIA KESHO TUUU.Hii ni baada ya wananchi wa jimbo hilo kukubaliana kwamba mbunge wao atatokana na CHADEMA , ambaye ni Liberatus Mwang'ombe .
Angalia ushahidi huu kutoka Ubaruku
View attachment 1611025View attachment 1611026View attachment 1611027View attachment 1611028