Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Uchaguzi 2020 Jimbo la Mbarali shughuli imekwisha

Mkuu acha kudanganya watu ambao hawakuwepo..

Mimi kabla yakuja Hapo ubaruku nilipita Igawa, Rejewa ili kufanya utafiti na kuona Hali kwa ujumla juu ya huo mkutano na ukweli nikuwa watu hawakuwa na mwamko kabisa..

Ubaruku nilikuta pamepoa Sana mpaka naodoka zangu Mkutano ulikuwa umepoa mnoo zaidi ya kelele tu za Watoto na Wahuni wa stand.
 
Mbarali tunaenda na saul
Chadema wametutesa sana, hatuwataki
 
Chadema inazalisha vichwa vipya kila siku, na zaidi inazalisha wapiga kura wapya kila kukicha, hiki ndio chama cha kizazi kipya.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi
 
Endeleeni kujifariji ila ukweli ni kuwa October 28th ni JPM,wabunge na madiwani wa CCM Tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Huyu Libe kama yule mshikaji Genius, namuonaga Fox News na BBC ndio power behind him kama nilivyosikia, basi atafika mbali sana. Jamaa is connected and very powerful kwa mwafrika. Alikuwa anaandikaga economic articles hapa JF
articles za kufa mtu. Jina linanitoka lakini jamaa yuko Wallstreet, ndio mmoja wa ma geniuses wa Wallstreet

Unamfananisha na kiranga
 
anapotoka chimala akipata kura 200 uje utambe tena jf
 
Endeleeni kujifariji ila ukweli ni kuwa October 28th ni JPM,wabunge na madiwani wa CCM Tuu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
jamaa ana hali mbaya sana mbarali tunaenda na mtega
 
Mkuu acha kudanganya watu ambao hawakuwepo..

Mimi kabla yakuja Hapo ubaruku nilipita Igawa, Rejewa ili kufanya utafiti na kuona Hali kwa ujumla juu ya huo mkutano na ukweli nikuwa watu hawakuwa na mwamko kabisa..

Ubaruku nilikuta pamepoa Sana mpaka naodoka zangu Mkutano ulikuwa umepoa mnoo zaidi ya kelele tu za Watoto na Wahuni wa stand.
Acha uongo aisee
 
Back
Top Bottom