Uchaguzi 2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

Wasalaam,

Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.

Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.

Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!

Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!

Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:

1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!

2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!

3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!

Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
Yaani ukanda hou wa Shinyanga na Simiyu sijui mna matatizo gani. Mnawapendea nini hawa watu wa asia ndogo ambao wanatafuta ubunge kulinda biashara zao tu? Yaani mnakuwa kama wale wa Morogoro ambao walishatenewa rushwa ya gari bovu bovu hivi la kutumia kwenye misiba. Ngoja CHADEMA iwacharaze.
 
Wasalaam,

Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.

Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.

Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!

Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!

Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:

1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!

2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!

3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!

Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
Huu uchunguzi umeshirikiana na twaweza au umefanya na pingapinga Fc?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada acha ramli chonganishi.
Wajumbe wameamua kumpa kura waliyemtaka, hakuna namna chama lazima kimpe ushindi wake awakilishe jimbo.
Haya ambayo umeyaeleza ni sawa na kutoa vitisho kwa vikao vya chama vibatilishe ushindi halali aliopata mshindi wa kura za maoni,
 
CC unayo kazi ngumu kuwatoa akina Sagini,prof muhongo,ole sendeka, mnyeti,gambo, sashisha, Ibrahim shayo,priscus kimaryo, mwandri,molel Dr,Dr David mathayo,Riziwani kikwete,Fred Lowasa,kurwa biteko,orodha ni kubwaaaaaaaaa
Iwaondoe wagombea hao wanamakosa gani?
I
 
Huyo jamkaya akasimamie viwanda vyake. Nyie wasukuma mmeshindwa kuwa wazalendo mnachagua mabeberu?

Kamati kuu leteni aliyeshinda ili chadema wapate mwakilishi.

Hatutaki majungu.
Njaa mbaya sana kwa wasukuma wezangu ukiona huu uzi lengo lake ni huyo Jambo Jamkaya apendekezwe ili tu akanywe juice za bure
 
Wasukuma sijui tunakwama wapi. Yaani tunaabudu hao waarabu koko. Bora liende Chadema kuliko kuongonzwa na Salum Mbuzi. Hakuna alilofanya. Hata Kishapu nashangaa Selemani Chambi kashinda vipi ?Solwa napo njoo Kwimba hawa warabu koko hakuna kitu.
 
Hii kasumba ya kumpa kura mtu yoyote ili mradi kasalimia Ng'wadela bha mayo nabhabha kwenye jukwaa itatugharimu sana wasukuma.
 
Back
Top Bottom