Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapo mkuu,na huyo ni mmoja wapoHuyo Mwalimu ana influence Sana.Mwalim Johnstone.ok.Kumbe bado Kuna walimu Wana ushawishi Karne hii ya 21 hasa hapa Tz
asante kwa masahihishoKwanza rekebisha sio selemani mbuzi ni salum mbuzi
chunguza mkuu,Lini umefanya utafiti? Umeandika kwa niaba ya huyo Jambo..unamharibia
Yaani ukanda hou wa Shinyanga na Simiyu sijui mna matatizo gani. Mnawapendea nini hawa watu wa asia ndogo ambao wanatafuta ubunge kulinda biashara zao tu? Yaani mnakuwa kama wale wa Morogoro ambao walishatenewa rushwa ya gari bovu bovu hivi la kutumia kwenye misiba. Ngoja CHADEMA iwacharaze.Wasalaam,
Kuna majimbo ambayo ni wazi yataenda upinzani hasa CHADEMA iwapo CC ya CCM haitotenda haki.
Mathalani jimbo la Meatu lilipo wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu.
Jimbo hili lilikuwa chini ya CCM likiwakilishwa na Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo.
Kwa wasiomfahamu Jambo ndiye mmiliki wa kiwanda cha vinywaji cha Jambo kinachopatikana mkoani Shinyanga.
Kwenye kura za maoni za mwaka huu Mwanamama na Mbunge wa Viti Maalumu Leah Komanya ambae anawakilisha mkoa wa Simiyu alifanikiwa kumng'oa Mhe Selemani Mbuzi almaarufu Jambo kwa tofauti ya kura zaidi ya 30!
Kipigo hiki kilimfanya Mhe Jambo atoke nduki ukimbini bila kusaini fomu za matokeo!
Cha ajabu kipigo hiki kitakatifu kimeligawa jimbo la Meatu:
1) 60% ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo jina la Leah Komanya likirudi basi kura zote zinaenda kwa mgombea wa CHADEMA Mwl Johnston wa pale Mwandete SS!
2) 40 % ya wakazi wa Meatu wanasema iwapo CC ya CCM itapindua meza na kumpa Jambo ushindi wa mezani basi kura zitaenda kwa Mwl Johnston!
3) Na iwapo CC ya CCM itawakata wagombea wote wawili walioshika nafasi ya kwanza na pili ambao ni Leah na Jambo basi team Jambo wamesema kura zote watapigia CHADEMA!
Waweza ongezea majimbo mengine yenye changamoto ambayo yana dalili ya kuangukia Upinzani!
Huu uchunguzi umeshirikiana na twaweza au umefanya na pingapinga Fc?Wasalaam,

ni akili za kuambiwa tu mkuu...Huu uchunguzi umeshirikiana na twaweza au umefanya na pingapinga Fc?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Iwaondoe wagombea hao wanamakosa gani?CC unayo kazi ngumu kuwatoa akina Sagini,prof muhongo,ole sendeka, mnyeti,gambo, sashisha, Ibrahim shayo,priscus kimaryo, mwandri,molel Dr,Dr David mathayo,Riziwani kikwete,Fred Lowasa,kurwa biteko,orodha ni kubwaaaaaaaaa
Ni mamluki ndani ya chama na wanajua njia walizozitumia kupata kura,wajipime wenyewe Kama wanafaa ndani ya chama .Iwaondoe wagombea hao wanamakosa gani?
I
Kwani amekwambia analeta ushauri!?Kwa hiyo unashaurije? Wasisimamishe kabisa mgombea au?
Njaa mbaya sana kwa wasukuma wezangu ukiona huu uzi lengo lake ni huyo Jambo Jamkaya apendekezwe ili tu akanywe juice za bureHuyo jamkaya akasimamie viwanda vyake. Nyie wasukuma mmeshindwa kuwa wazalendo mnachagua mabeberu?
Kamati kuu leteni aliyeshinda ili chadema wapate mwakilishi.
Hatutaki majungu.
Hii kasumba ya kumpa kura mtu yoyote ili mradi kasalimia Ng'wadela bha mayo nabhabha kwenye jukwaa itatugharimu sana wasukuma.Wasukuma sijui tunakwama wapi. Yaani tunaabudu hao waarabu koko. Bora liende Chadema kuliko kuongonzwa na Salum Mbuzi. Hakuna alilofanya. Hata Kishapu nashangaa Selemani Chambi kashinda vipi ?Solwa napo njoo Kwimba hawa warabu koko hakuna kitu.