Uchaguzi 2020 Jimbo la Meatu litaenda CHADEMA iwapo CC ya CCM itafanya figisu kwenye uteuzi

Yaani ukanda hou wa Shinyanga na Simiyu sijui mna matatizo gani. Mnawapendea nini hawa watu wa asia ndogo ambao wanatafuta ubunge kulinda biashara zao tu? Yaani mnakuwa kama wale wa Morogoro ambao walishatenewa rushwa ya gari bovu bovu hivi la kutumia kwenye misiba. Ngoja CHADEMA iwacharaze.
 
Huu uchunguzi umeshirikiana na twaweza au umefanya na pingapinga Fc?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada acha ramli chonganishi.
Wajumbe wameamua kumpa kura waliyemtaka, hakuna namna chama lazima kimpe ushindi wake awakilishe jimbo.
Haya ambayo umeyaeleza ni sawa na kutoa vitisho kwa vikao vya chama vibatilishe ushindi halali aliopata mshindi wa kura za maoni,
 
CC unayo kazi ngumu kuwatoa akina Sagini,prof muhongo,ole sendeka, mnyeti,gambo, sashisha, Ibrahim shayo,priscus kimaryo, mwandri,molel Dr,Dr David mathayo,Riziwani kikwete,Fred Lowasa,kurwa biteko,orodha ni kubwaaaaaaaaa
Iwaondoe wagombea hao wanamakosa gani?
I
 
Huyo jamkaya akasimamie viwanda vyake. Nyie wasukuma mmeshindwa kuwa wazalendo mnachagua mabeberu?

Kamati kuu leteni aliyeshinda ili chadema wapate mwakilishi.

Hatutaki majungu.
Njaa mbaya sana kwa wasukuma wezangu ukiona huu uzi lengo lake ni huyo Jambo Jamkaya apendekezwe ili tu akanywe juice za bure
 
Wasukuma sijui tunakwama wapi. Yaani tunaabudu hao waarabu koko. Bora liende Chadema kuliko kuongonzwa na Salum Mbuzi. Hakuna alilofanya. Hata Kishapu nashangaa Selemani Chambi kashinda vipi ?Solwa napo njoo Kwimba hawa warabu koko hakuna kitu.
 
Wasukuma sijui tunakwama wapi. Yaani tunaabudu hao waarabu koko. Bora liende Chadema kuliko kuongonzwa na Salum Mbuzi. Hakuna alilofanya. Hata Kishapu nashangaa Selemani Chambi kashinda vipi ?Solwa napo njoo Kwimba hawa warabu koko hakuna kitu.
Hii kasumba ya kumpa kura mtu yoyote ili mradi kasalimia Ng'wadela bha mayo nabhabha kwenye jukwaa itatugharimu sana wasukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…