mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Wasalam,
Nasema hivi, safari hii Kessy atamjua na kumuona adui wake live bila chenga. Suala liko hivi; Dada Kenani msimamo wa CHADEMA uko wazi hawautambui uchaguzi tena, mbali zaidi wanaomba urudiwe kwa kutumia kanuni hiyo hiyo haiwezekani ule mchuzi ili hali nguruwe ni haramu (hamna kusema nilikunywa mchuzi tu).
CHADEMA ndio iliyompa dhamana ya kugombea akashinda, kwa mujibu wa sheria zetu, ukivuliwa uanachama tayari na bunge halikutambui, ni suala la muda tu Kenani ni kuku wa kitoweo kwa ukaidi wa maagizo ya kamati kuu ya chama, adhabu anayostahili ni insubordination na remedies zake ni kumvua uanachama.
Sasa basi tuanzie hapo ,maamuzi itakuwa kutangaza Jimbo liko wazi, sasa basi kwa ushawishi aliokuwa nao Kessy kule Nkasi ni nani atamzuia akirudi tena ulingoni? Au ile kamati ya kuwaungisha juhudi watu watampa penalty ya goli lisilokuwa na golikipa afunge yule dada kwa masharti ya kubadilisha jezi? Je, ikitokea hili aliemuabisha Kessy bado tu hamjamjua?
It's the matter of very short time, the ghost who orchestrated this. He is going to reveal himself
Good day