MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Chama kikiamua kumrudisha huyo dada Kessy atapinga vipi? Wala hatathubutu.Kessy vipi atakubali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kikiamua kumrudisha huyo dada Kessy atapinga vipi? Wala hatathubutu.Kessy vipi atakubali?
Nenda ngumbaru, hufai kuwa hapa.Si viongoxo wotr tangu mernyrkiti, katibu etc wamewapa wake zao ubunge.
Haileti maana lumzibia dada wa watu kisa wao wameshindwa na kashinda yeye.
Mama tanzania sio wa kumwamini sana,yule akihakikishiwa anapitishaaliekwambia MamaTanzania atashiriki marudio ni nani
KWANINI CCM HAWATAKI KUSHINDA HILO JIMBO.Very true hilo jimbo lazima upinzani ushinde, iwe mvua iwe jua
Awakumtaka thus walimtosa Kessy.Chama kikiamua kumrudisha huyo dada kessy atapinga vipi? Wala hatathubutu.
Acha ujinga, kutokuwa na mbunge mahali sio kufa kwa chama eneo hilo. Hizo in akili za wapi? Kote huko Chadema ilikoshinda na kunyang'anywa ushindi kulikuwa na wabunge awali? Ilikuwa hakuna lakini chama kilikuwepo kama kilivyo ccm huko Arusha, Iringa au Kigoma na wabunge wao hawakuwepoKwa maana hiyo chadema ndo itakuwa imekufa kifo cha mende huko Nkansi?! What a plan [emoji848][emoji25]
Katiba na taratibu wakati wa sasa havifuatwi tena. Kilichopo ni kukomoana tu. Mama ataendelea kuwa mbunge bila chama. Spika Ndugai ndiye kila kitu.Chochote kinawezekana mkuu. Wanaweza kumvua uanachama lakini bunge likakataa kutambua uvuaji huo uanachama na wakasema vyovyote vile anabaki kuwa mbunge kutoka chadema. Unakumbuka yule bingwa wa Ndanda?
Kwa sasa usihangaike Sana na sheria Wala taratibu za katiba. Havina dili tena hivyo, Sasa hivi kipaumbele ni uchama na chama kinasemaje.
Pandikizi la CCM tangia mwanzo.Ana tamaa sana huyo binti. Anadhani maisha ni kuwa mbunge tu? Ajifunze kujitoa kupigania haki.
Ulifaulu KKK? Rudi shuleni.Jipe moyo na Kessy wakooo
Kazi imeishaaa hioooo
Ukulelewa maana ya imeishahioo kwenye uchaguzi
Sahaun hata mb mmoja kushindwa na mahakama mjipange na kakclub chenu kapya kamenifurahisha na vmaalum vyake
Kuna watu hudhani mbunge ni mwakilishi wa chama chake. Watu kama hawa wapewe elimu kuwa mbunge anawakilisha wananchi. Wananchi wamemchagua akawawakilishe hivyo hao wanaosema ana tamaa kwa kuwa kutimiza wajibu wake wana uelewa finyu tu.Haki yake nikuwapigania wananchi wa Nkasi na tayari ashaipata Sasa Sijui wewe unataka apiganie haki ipi!
Wewe umekwisha kuipigania hiyo haki ndugu keyboard warrior?Ana tamaa sana huyo binti. Anadhani maisha ni kuwa mbunge tu? Ajifunze kujitoa kupigania haki.
Sheria itungwe iwe wazi ,ingekuwa mzuri Sana hakuna ambaye angelalamika.CDM,CCM ,ACT wangejua hilo.na si kuvunja Sheria,kwanini kwa manufaa ya upande mmojaKuna watu hudhani mbunge ni mwakilishi wa chama chake. Watu kama hawa wapewe elimu kuwa mbunge anawakilisha wananchi. Wananchi wamemchagua akawawakilishe hivyo hao wanaosema ana tamaa kwa kuwa kutimiza wajibu wake wana uelewa finyu tu.