Uchaguzi 2020 Jimbo la Nkasi ideally liko wazi. Je, ni Kessy tena au dada wa CHADEMA ataunga juhudi?

Uchaguzi 2020 Jimbo la Nkasi ideally liko wazi. Je, ni Kessy tena au dada wa CHADEMA ataunga juhudi?

Wanasiasa wengi nilitaka kusema wote nikamkumbuka mwalimu. Wanachopigania maslahi yao kwanza, pili chama, tatu wananchi, na ndio maana huyu Mbuge wa Nkasi CHADEMA wakimzuia kwenda Bungeni anahama chama kwenda kusaka ajira/kazi ya Ubunge kupitia chama kingine.
 
CHADEMA watamvua uanachama then Ndugai atawapotezea anaendelea na ubunge wake akiwakilisha CHADEMA waliomtimua
 
Barua ya CHADEMA kumwandikia Spika kumvua huyo Mbunge uanachama I think bwana ndugai hatoipata kwa miaka yote mitano
 
Huyo dada wanataka mvua Ubunge wake bila sababau kwa kuwa Mbowe, Lema na Lissu wamekosa? Si washawapa wake zao Ubunge viti maalum wanatafuta nini tena?

Huku unamzuia dada wa watu kuingia Bungeni na Bunge hilo hilo umempa mkeo anaenda kama kawa
 
Very true hilo jimbo lazima upinzani ushinde, iwe mvua iwe jua
Si Viongozi wote tangu Mwenyekiti, Katibu etc wamewapa wake zao Ubunge.
Haileti maana kumzibia dada wa watu kisa wao wameshindwa na kashinda yeye.
 
Ana tamaa sana huyo binti. Anadhani maisha ni kuwa mbunge tu? Ajifunze kujitoa kupigania haki.
unafahamu kiasi cha gharama alizotumia kushinda ubunge? au unadhani yeye hana familia inayomtegemea? amekua na tamaa baada ya kushinda ubunge...wakati anapambana jukwaani mlimuita Kamanda, acheni ufa.la nyie CHADEMA
 
Bora aunge juhudi hatakiwi kuwa kinyume na maamuzi ya chama la sivyo cdm imfukuze
 
Sijahangaika kusoma contents, lakini Kessy hata akisimamishwa na Diwani wa Kata yoyote wa CHADEMA anapigwa SAA 4 asubuhi. Waliokuwa wanamuona Kessy wa maana ni CCM waliokuwa wanamtuma kutukana watu bungeni, matusi ambayo ameyaendeleza hadi jimboni. Hata kura alizopata ni kwa sababu ya rushwa kubwa aliyotoa na msaada wa kampeni za wazi majukwaani za vitisho toka kwa mkuu wa Wilaya ya Nkasi Said Mtanda, vinginevyo angeambulia kura 5000.
 
Kessy vipi atakubali?
CCM hawawezi kumsimamisha Kessy hata Udiwani, hauziki. Kwanza CCM Wilaya na Mkoa walikuwa wamemwandikia taarifa mbaya ya ukiukaji wa maadili, akawadanganya kina Bashiru kwamba anaonewa kwa vile amewabana wafanyabiashara ambao ni marafiki wa viongozi wa CCM nao wakarudisha jina. Uchaguzi wa Nkasi kaskazini uliisha siku CCM iliporejesha jina lake.
 
Si viongoxo wotr tangu mernyrkiti, katibu etc wamewapa wake zao ubunge.
Haileti maana lumzibia dada wa watu kisa wao wameshindwa na kashinda yeye.
Huu ujinga wasimulie wapuuzi wenzio, hapa hatukaribishi wajinga.
 
Kwa navyoona yeye mwenyewe amue kuacha au kuendelea tuliwe kama CCM na kikao cho cha siri
 
Well said. It's a matter of very short time. Khenan ama hajitambui au katumwa.
 
Itakuwa ni uzwazwa CHADEMA kumfukuza uanachama Aida then kwenda kushiriki tena uchaguzi wa marudio utakaosimamiwa na DED yuleyule kwa sheria na kanuni zilezile

Kama ni ‘kukomoana’ tu, basi CHADEMA wamfukuze then wasishiriki maana huyo mama ataenda CCM na Ubunge wake watampa tena asubuhi mapema. Nani atakuwa loser hapo?
 
Back
Top Bottom