Uchaguzi 2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

Najua hichi kijiti 2025 tunacho Uraisi Jiwe hawezi kukitupa kizembe zembe maana ni fire nacho
 
Wana Lindi wenzangu habari

Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,

Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo

Mikoa ya Rukwa na Katavi, walimuacha Mhe Pinda apite bila kupingwa mwaka 2010 tena upinzani nchini ulikua upinzani kweli kweli, aliekuawa makamu mwenyekiti wa CHADEMA mhe Afi aliwaambia CHADEMA waziri mkuu kutoka mikoa Yao ni heshima, pamoja kuwa ni demokrasia lakini wao wameamua kutumia demokrasia kumuacha apite bila kupingwa na ikawa hivyo .

Niwaombe Wana Lindi bila kujali vyama vyetu ,tunajua na wapinzani wanajua ,na dunia inajua kuwa mhe Majaliwa atashinda uchaguzi na kuwa mbunge

Kwa mazingira kama hayo tuamue kutumia demokrasia ya kumuachia apite bila kupingwa kila mtu anajua utendaji wake, ni mtu wa mfano, amefanya makubwa Sana katika Jimbo la Ruangwa

Iwa mwema

MALIKI MALIKI

Huko CCM alipita bila kupingwa bado mnaona haiwatoshi? Na bosi wake Magufuli nae apite bila kupingwa?

CCM kweli mmeishiwa pumzi saa moja asubuhi tu.
 
Kwamba anawatetea sn wananchi wa luangwa ili wasiibiwe korosho zao na serikali ya ccm???

Maccm sio ya kuyaonea huruma hata kidogo maana wote ni mashetani
 
just
Majaliwa amefanya mambo mengi sana kwa watu wa Ruangwa na Tanzania kwa ujumla, nguvu ya kumpinga inatoka wapi,tumuache apite tu bila kupingwa.
Unawaza ujinga.

Yeye sio Mungu mpaka asipingwe.

Iache demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Wana Lindi wenzangu habari

Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,

Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo

Mikoa ya Rukwa na Katavi, walimuacha Mhe Pinda apite bila kupingwa mwaka 2010 tena upinzani nchini ulikua upinzani kweli kweli, aliekuawa makamu mwenyekiti wa CHADEMA mhe Afi aliwaambia CHADEMA waziri mkuu kutoka mikoa Yao ni heshima, pamoja kuwa ni demokrasia lakini wao wameamua kutumia demokrasia kumuacha apite bila kupingwa na ikawa hivyo .

Niwaombe Wana Lindi bila kujali vyama vyetu ,tunajua na wapinzani wanajua ,na dunia inajua kuwa mhe Majaliwa atashinda uchaguzi na kuwa mbunge

Kwa mazingira kama hayo tuamue kutumia demokrasia ya kumuachia apite bila kupingwa kila mtu anajua utendaji wake, ni mtu wa mfano, amefanya makubwa Sana katika Jimbo la Ruangwa

Iwa mwema

MALIKI MALIKI
Muombeni Lissu akikubali tutafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom