Uchaguzi 2020 Jimbo la Ruangwa tumuache Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa apite bila kupingwa

Najua hichi kijiti 2025 tunacho Uraisi Jiwe hawezi kukitupa kizembe zembe maana ni fire nacho
 


Huko CCM alipita bila kupingwa bado mnaona haiwatoshi? Na bosi wake Magufuli nae apite bila kupingwa?

CCM kweli mmeishiwa pumzi saa moja asubuhi tu.
 
Kwamba anawatetea sn wananchi wa luangwa ili wasiibiwe korosho zao na serikali ya ccm???

Maccm sio ya kuyaonea huruma hata kidogo maana wote ni mashetani
 
just
Majaliwa amefanya mambo mengi sana kwa watu wa Ruangwa na Tanzania kwa ujumla, nguvu ya kumpinga inatoka wapi,tumuache apite tu bila kupingwa.
Unawaza ujinga.

Yeye sio Mungu mpaka asipingwe.

Iache demokrasia ichukue mkondo wake.
 
Muombeni Lissu akikubali tutafanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…