GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

GE2025 Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nilitaka kuchukua fomu Hilo Jimbo uchumi haukuruhusu 2030 nitachukua fomu,nitakuwa nimejipanga vizuri
Dua zenu
Mimi ni mzawa wa Tabata tangu 1983 nipp Tabata
Ngoja kwanza,wewe si ni mwanamke? Nyie katika kosa tulifanya ni kuwapa nafasi aisee. Mnaharibu sana mkishaanza tu kulipwa mshahara wa kwanza mnaanza kuwa wa hovyo.
 
Mimi nimempigia kura ya hapana sema wajumbe wa segerea awajitambui nakuambia..mimi hela yake nimekula lakini nimemkataa rushwa aliyoimwaga siyo mchezo zaidi ya milioni 100 imetumika wenye viti na makatibu kata wa chama wameogelea minoti wengine wamenunuliwa pikipiki tvs mpya na laki 5 ya mafuta siyo mchezo..
 
Inaumiza sana, miaka 10 bungeni hata kufungua mdomo kuongea chochote kuhusu Tabata hajawahi.., hivi amerogwa huyo mwanamke?
Mkuu huyo mbunge anajua kuikatikia na anafahamu wa kumkatikia ndio maana yupo hapo. Usiumize kichwa.
 
Back
Top Bottom