Ngoja kwanza,wewe si ni mwanamke? Nyie katika kosa tulifanya ni kuwapa nafasi aisee. Mnaharibu sana mkishaanza tu kulipwa mshahara wa kwanza mnaanza kuwa wa hovyo.Nilitaka kuchukua fomu Hilo Jimbo uchumi haukuruhusu 2030 nitachukua fomu,nitakuwa nimejipanga vizuri
Dua zenu
Mimi ni mzawa wa Tabata tangu 1983 nipp Tabata
Hii barabara ya kimanga wamekwangua halafu wameiacha.Kama ulikuwa kichwani mwangu, nilitaka nianze ile ya maji chumvi, kisha ifuate ya jiandae kutokea jeshini, yaani hali inatisha!!
Hatakiwi si kapita hukoDkt. Gwajima D tafadhali emu mwambie mwanamke mwenzio Bona Kamoli kua jimbon hatakiwi na aache uhuni.
Kwahiyo Bashe ana ukimwi?Kuna uzi humu, huyu mbunge wenu analalamikia kuwa hajafaidika chochote kwenye ubunge, badala yake kaishia kupata ukimwi na kupoteza mume.
Madai yake ni kwamba kachapwa na wengi, siyo Bashe tu. Aliyekuwa mumewe alimfumania na Anthony MavundeKwahiyo Bashe ana ukimwi?
Daaa!!Madai yake ni kwamba kachapwa na wengi, siyo Bashe tu. Aliyekuwa mumewe alimfumania na Anthony Mavunde
Mkuu huyo mbunge anajua kuikatikia na anafahamu wa kumkatikia ndio maana yupo hapo. Usiumize kichwa.Inaumiza sana, miaka 10 bungeni hata kufungua mdomo kuongea chochote kuhusu Tabata hajawahi.., hivi amerogwa huyo mwanamke?
Sasa yeye akiiikatikia sisi inatusaidia nini huku Tabata, barabara zina mashino ya kutisha!!Mkuu huyo mbunge anajua kuikatikia na anafahamu wa kumkatikia ndio maana yupo hapo. Usiumize kichwa.
Vip tena mkuuu wamekuteka au maana mbunge wako wa CCM HUYO AU HUJUI?Kamoli kazi yake ni kudanga Bungeni
Duh kumbe,bado ni mbunge huko .... kweli kazi mnayo 😄
Alipigwa chini, huyi anaongea baada ya kupewa viti maalumDuh kumbe,bado ni mbunge huko .... kweli kazi mnayo 😄
Ova