GE2025 Jimbo la Siha kimenuka mke wa Mollel apigwa na gari lachomwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.

Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.

Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.

Chanzo: Wasafi Tv​

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
 
Wengine huweza tengeneza matukio ili kupata kura za huruma.

Anajua anayo ushindani mkubwa sana.

Maana yule mzee wa SUKUMA NDANI anao ushindani nae sana. Ya mwaka 2020 alimzidi kwa kura moja alafu nae alivyokuwa mbunge hadi naibu waziri hamna cha maana wilayai.
 
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.

Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.

Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv​

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Maaaamae utamu wa madaraka
 
Dhambi ya usaliti itawatafa kila msaliti kwa wakati wake...
 
Ukizoea kula nyama ya mtu huachi 🤣 hawana upinzani wa kuwaharass wanamalizna wenyewe kweli Mungu mkali!
 
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.

Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.

Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv​

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
... Hapana aisee, kama wao kwa wao ndo hivi tunakoelekea si kuzuri!
# NO RESTRUCTURING NO ELECTIONS!
 
Eti mwendo wa mama Samia huyu Madenge ni chawa mwandamizi.
 
Na ACT na kale ka CHAUMMA wanaamini CCM itawaachia viti kadhaa.
Shenzi wa blue
sidhani kama ccm wataachia majimbo kwa ACT na CHAUMMA, Hivi vyama vipambane vyenyewe vipate madiwani na wabunge visitegemee kupewa zawadi kwa kushiriki uchaguzi bila reforms. Tena vibaniwe haswa, visipate diwani na mbunge hata mmoja ili akili ziwakae sawa
 
Kuna wakati nakereka sana mambo yenu mnapotuambia sisi.
Pambaneni na hali zenu
Sisi wengine tuna mambo mengi muhimu ya kufikiri na tunaangalia machapisho ya maana ili tusome.tutafakari kujifunza sasa mnapotuletea taarifa kuhusu mitifuano yenu mnatuchanganya.
 
Back
Top Bottom