GE2025 Jimbo la Siha kimenuka mke wa Mollel apigwa na gari lachomwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Aliendav
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.

Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.

Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv​

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
Alienda kumtembelea Diwani au alikuwa anapeleka rushwa?
 
Uaneni wenyewe! Ccm ndio mlivyo!! Mlizoea kuwafanyia Chadema Sasa uaneni wenyewe. No reforms no election.
 
CHADEMA waliona mbali sana, yaani hizo tuhuma zote zingalielekezwa kwa chadema. Na polociciemu wangewaweka kizuizini wana chadema ili hali ubaya wanafanyiana wao kwa wao
Hapo wanataka kuua wao kwao sembuse kwenye ubunge wenyewe?
 
Zikiwa zimebaki saa chache kabla ya wajumbe kufanya uchaguzi wa kupitisha jina moja la kuwania ubunge katika majimbo yote hapa nchini, katika jimbo la Siha mvutano umekua mkali baada ya mke wa aliyekua mbunge wa jimbo hilo kuvamiwa na kupigwa huku gari lake likivunjwa kioo.

Akizungumza leo na waandishi wa habari naibu waziri wa afya amelipongeza jeshi la polisi wilayani humo kwa kuwakamata baadhi ya watuhumiwa wa tukio hilo huku wengine wakiendelea kusakwa ambao wanatajwa kuwa ni wasaidizi wa mmoja wa watia nia katika jimbo hilo.

Amesema watuhumiwa hao siku chache zilizopita walichoma gari la mmoja wa wasaidizi wa mbunge Mollel lakini walipoachiwa kwa dhamana walitekeleza jaribia la kumdhuru mke wa mbunge huyo ambaye pia ni naibu waziri wa afya.
View attachment 3430526
Chanzo: Wasafi Tv​

Kwa mujibu wa taarifa ni kuwa jeshi linawashikilia watatu na linaendelea kuwatafta wengine wanaohusika na jaribio hilo.
🤣🤣🤣🤣qmmk haya mambo ndio mnawafanyiaga CDM Sasa wamekaa pembeni mnauana wenyewe
 
Mollel atulie tuu, ajiandae kurudi Ngarenaro Health centre kuendelea na kazi yake ya kung'oa meno
 
Wafuane, wapasuane mi napenda sana na nafuatilia kwa karibu sana km derby ya simba na yanga.

Nje ya mada: huyu Mollel mbunge wa Siha anafanana sana na kichaa mmoja mtaani kwetu.
 
Bado sanaaa...kikiwaramba na wale wakubwa ndo watakiri sasa hadharani....
 
Huyu mkoma Mollel ametengeneza hilo tukio kutafuta huruma baada ya kuona maji yanazidi unga, yote kwa yote hawa fisi wa kijani wakiumana nafarijika sana nataka wauane kabisa.
Utengeze tukio ukimhusisha mkeo apigwe sio!
 
Back
Top Bottom