Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba.
Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge.
Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya mwananchi.
Wananchi wa jimbo la Ruangwa, wanafahamu unaya wa dhuluma waliyofanyiwa ya kupewa mbunge ambaye hawakuwahi kumchagua kwa kuunfa mkono kwa nguvu zote kampeni ya NO REFORM NO ELECTION: