Na hata hiyo katiba yenyewe ni changamoto, Mbunge akachaguliwe na kajimbo kamoja, then ndio waziri mkuu kwa ngazi ya taifa, tunapaswa tulione hili. Pm awe ni mtu yoyote anaeweza kusimamia maslahi ya kitaifa kwa usawa
Kule liwale barabara imekatika nilitaka kusahau