Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hakuna mbingu, ukifa hutajua chochote, hutasikia chochote wala hutahisi chochote. Kama ulivyokuwa kabla hujazaliwa hakukuwa na kitu basi ndio hivyo hivyo.Hivi na wazungu tutakutana nao mbinguni tukifa ama wao wanakutana huko bara lao la ulaya?
Ajibu mwenye eksipiriensi
Kama kuna mwenye ushahidi wa kuwepo maisha baada ya kifo aje alete hapa ila pia awe na experience (yani awe alishawahi kufa)