TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia


Kuna mtu aliniambia ukifa unasikia kila kitu lakini kujibu huwezi
Siku nikifa nitaleta ushuhuda
 

Haya maneno mbona kama kayasema chatGPT?

Eti mshamba_hachekwi
 
#TANZIA Rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter, amefariki dunia Jumapili Disemba 29, 2024, baada ya kukaa kwa zaidi ya mwaka mmoja akiwa katika uangalizi wa madaktari.

Carter ambaye alitimiza miaka 100 Oktoba 1 na ndiye Rais aliyeishi kwa muda mrefu zaidi katika historia ya Marekani, amefariki nyumbani kwake huko Plains Jumapili akiwa amezungukwa na familia, kwa mujibu wa kituo cha Carter.
 
R
R.I.P JIMMY🌹
 
Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Hii habari IPO umu ndani . muda mrefu
 
Huyu mzee alikuwa akiishi kwa tabu sana..

nakumbuka alivyo kuja Tanzania na kuupanda mlima Kilimanjaro way back na miaka 45..
 
B ila shaka ataenda kuita maji mma au ulihisi hatakufa kwa ufedhuli wake? Kafiri ameumaliza mwendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…